Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Herrera hajawahi kutaka mshahara wa £350k na hata huko PSG mshahara wake sio huo it's impossible Herrera awazidi kina Silva,Alves,Cavani,Mbappe,Di Maria azidiwe mshahara na Neymar tu (Neymar analipwa €500k)
The main problem ni how unasubiri mkataba wa mchezaji ufike mwisho ndio uanze negotiation mchezaji akifika hatua hiyo anakuwa na offer nyingi sana sababu anakuwa ni cheap hii mistakes imefanyika kwa Fellaini,Mata,Herrera na inaonekana itaendelea PSG wamempa Herrera mkataba wa miaka 4 + 1 year option United wangempa max ni 2 years
Herrera na Mata hawakuwa katika mipango ya Mourinho those days kama kumbukumbu zangu zipo sahihi anko Fella alipewa ofa ya mkataba mpya chini ya MO iliishiaje sikumbuki.

so kwa scenario kama hiyo nasimama na klabu.

Rashford, Martial, Pereira, Shaw, Jones, Smalling, Mata hawa wote wamepewa kandarasi mpya wakiwa wamebakisha mwaka mmoja katika mikataba yao, De Gea amebakisha mwaka mmoja na mazungumzo yanaendelea hapo.
 
Hatimaye kirusi katoka mafichoni
Screenshot_20190705-211022.jpeg
 
Ilisemekana mia mbili au nyuma ya pazia ndio ilikuwa hivo? Ila ni sawa tu hata angedai mia nne. Wachezaji wengi wanadai hvo kwa kuangalia work rate ya pogba na hela anazopewa ni tofauti kabisa, Performance ya Alexis na hela anazochukua ni tofauti kabisa. Sasa akijiangalia yeye alivyokuwa anafia timu halafu sijui anchukua 80 huko ni ujinga. Ndio mana hata de gea inasemekana kadai 350 na imebidi wakubaliane nae.
Aise ujamuona Sanchez kafanya vizuri uko Chile ..muongezeeni pesa aise..
 
Liverpool hatuhitaji wachezaji wa aina ya huyo uliyemsema ,mchezaji nusu ya akili yake kichwani inawaza kuvaa hereni, Kubadilisha mitindo ya nywele.
Mkuu Pogba anacheza kwenye timu yeyote ile apo England ..hakuna inayoweza muweka benchi Paulo izo tabia za kuvaa hereni ni personal issues tu..
 
Kwanini life ?
Obviously Atletico Madrid's answer was negative, understanding that both Barcelona and the player have disrespected Atletico Madrid and all their fans.
"As a consequence, today Atletico Madid have ordered the player, his sister in her capacity as his agent and his lawyer, that Antoine Griezmann must present himself on Sunday at the club to begin pre-season with the rest of his team-mates, in compliance with his contractual obligations.
"By way of this statement Atletico Madrid wish to express their deepest disgust at the behaviour of both parties, especially Barcelona, for having induced a player to break his contract with Atletico Madrid at a point in the season where the club was fighting not just for the Champions League against Juventus, but also La Liga itself against none other than Barcelona, something that we consider contravenes the established negotiation periods with players and distorts the basic rules that ensure the integrity of all sporting competition, as well as causing enormous damage to our club and our millions of fans."
 
Mkuu Pogba anacheza kwenye timu yeyote ile apo England ..hakuna inayoweza muweka benchi Paulo izo tabia za kuvaa hereni ni personal issues tu..
England nzima hakuna level ya Pogba. Wengine ni msuli tu ndo unawafanya wanaonekana, vinginevyo ni vihio. Paul hahitaji kuonesha kufanya mazoezi wala hahitaji kutumia nguvu nyingi kucheza, mpe materials then utaona outcomes
 
Back
Top Bottom