Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na hatakuja???? Unaongea hivi ukiwa kama nani pale Manchester United CEO,Owners au Ukiwa kwenye Technical bench au wewe ni Scouting wa United..........Mtu unaishi Uvinza unataka kujifanya wewe ndio Ed Woodward sasa
Mlete wewe
 
we need a proper 10, lasivyo tutakua tunamuona mzigo. United have been without a 10 since Rooney and RVP days. Jamaa ni jangili mzuri ila anahitaji striking partner. Nje ya hapo tutakua tunacheza na muda
Jangili gani huyu? Labda kama ni Wa wanyama ila siyo mpira
 
OGS destroyed all of the club's projections after he was confirmed as permanent manager.

He started talking shits after his boys. It has been very
naiveté of him
 
Kuna swap ya Pogba na Neymar inakuja
Man U inasemekana wameikataa Manake inadaiwa endapo hilo litatokea Neema atapaswa kulipwa hadi £900000 kwa wiki,so Man U wameona watarudi kulekule kwenye destabilization of dressing room. Ila inasemekana wako tayari kumpa pogba mkataba mpya utaogharimu £500000 kwa wiki ili abaki japo yeye ni kama hataki
 
ameandika Darren Clough kupitia account yake ya twitter:

"Manchester United's debt is £500m, there's been no capital paid off it since 2011. Share sales have brought in £452m, none of its been invested in Man Utd. The owners of Man City have put £1bn in, the Glazers have taken out £1bn.
 
kucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,
  • tatizo letu lipo kwa bwana ed woodward amekosa nguvu ya ushawishi kwa wachezaji, udhaifu wa ed woodward kwa kiasi kikubwa ulifichwa na makocha wenye uzoefu kama vile louis van gaal pamoja na jose mourinho, nyakati za moyes alishindwa kusajili mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka.
  • pia bwana ole gunnar solskjaer naye pia anasumbuliwa na tatizo la kukosa ushawishi kwa wachezaji na hili limetokana zaidi na matokeo yake ya mwishoni mwa msimu ukiachana na udhaifu wa CV yake.
msimu wa kwanza wa jose mourinho tulifanikiwa kuwasajili zlatan ibrahimovic, eric bailly, henrik mkhitaryan pamoja na paul pogba na tulicheza europa league.

mourinho, ancelotti, guardiola, klopp, ferguson ni makocha wenye uwezo wa kumtumia mchezaji ujumbe wa tafadhali nipigie na hatimaye mchezaji akapiga mwenyewe haijalishi kwa salio la mkopo.

usiku wa ndoa tumewakutanisha mabikira wawili kwa wakati mmoja hivyo basi makungwi tuendelee kuwa wavumilivu mpaka alfajiri.
 
ameandika Darren Clough kupitia account yake ya twitter:

"Manchester United's debt is £500m, there's been no capital paid off it since 2011. Share sales have brought in £452m, none of its been invested in Man Utd. The owners of Man City have put £1bn in, the Glazers have taken out £1bn.
Halafu angalau hizo hela wange invest kwenye youth system, viwanja na miundombinu mingine, wanalipa deni lao personal lisilohusiana na timu, hali ya kuwa deni la timu (ambalo nalo ni wao walioleta kwa kukopa kwa kutumia Asset za Man u) lipo vile vile.

Inauma sana timu yetu inavyodondoka, something must be done kusema kweli.
 
Back
Top Bottom