Man U wametoa kit mpya ya 2019/2020. It is as if is an embarrassing Kit though it looks good!!! Hii new Kit ni kama vile ina lengo la celebration ya Treble winning season of abt 20yrs ago yan ile 1999! Wameweka "90+1" , "90+3" upande wa kushoto na kulia wa sleeve.
Man U wamekosa cha kujivunia saiv hadi inabd itumie mashindano yaliyopita kuji-encourage na vitu vya 20yrs ago! Huu ni utan mana hata hatuja-qualify kwa tulichoshinda kipind kile, na wachezaji walioko now hawastahili hata kuvaa kit za namna hiyo, I cant feel how they will feel, so embrrassing
Kwa mawazo ya haraka, united inawaza watauza jezi za kutosha, ok wanaweza fanya kama wakizid kuleta star atakayeuza sana!! Embarrassing kit