Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
Matokeo yanaumiza sana.... alfu huyu ole asipoangalia anaenda fukuzwa mapema sana kwa ujinga waleo anadai waliocheza wamecheza vizuri. Timu itachezaje vizuri alfu ifungwe na Cardiff iliyoshuka daraja?? ......mara last months anajichekesha et we won't sign 7 players or 6 we will add 2 or 3 signings, mpaka anaudhi huyu mnorway gan mzembe hv........ tunakoelekea anaenda kutuumiza zaidi na itamcost kazi yake kabla hata ya december.....nlitegemea ole atupe matumaini ila yeye ndo anajifanya philosopher et huwezi sajili wachezaji 7 shenz kabisa.....so tutaendelea kumwagilia maji ukuta wa Jones na smalling wanazingua kila mda tu jamaa anaenda Feli sababu ya upole uliopitiliza.....
Hii sio timu kabisa na wachezaji naona wanamgomo pale and baadhi ya taarifa zaleo znadai bonus za Sanchez na Pogba ndiyo chanzo, sasa timu itakaaje na wachezaji ambao wanaangalia bonus badala ya kuangalia uwezo wao na uwezo wa timu..... Sanchez akibaki Old Trafford itakuwa kaburi letu kuelekea msimu ujao.... Pogba anauwezo kiasi lakini kucheza na pogba ni sawa na timu icheze na wachezaji 10 uwanjani....anachojisikia ndo anafanya..... Ole aache upumbavu na i wish inter and Madrid waje wawachukue Sanchez na pogba waondoke nao hao jamaa wanaleta sana hasira.....Utozi mwingi na dance video nyingi uwanjani 0, pumbavu kabisa huyo lingard sio level hata ya trossard wa Genk na bado tu ole anachezesha hili jinga linalowaza kudance tu.....
Sijui Manchester united inaelejea wapi maana sioni mabadiliko yoyote... Ferguson ndo katuu mara ya 2 kwa Ole....tungeweza subiri hadi mwisho Wa msimu huu, huenda tungepata kocha wa kueleweka