Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Kitu cha kwanza ni bodi yenyewe kujitathimini kama wamekubali man u iwe hivyo.Daaah...! Sawa, so unadhani nini kifanyike ss hv ili kuinusuru Man Utd kuzidi kupoteza ubora wake![]()
Pili, wachezaji pia wajiulize kama wana thamani ya kuchezwa pale OT.
Tatu, Kocha atafutwe mwenye uzoefu/tamaa ya mafanikio, Potchetino anaweza kufaa zaidi.

