Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unajua Man Utd before SAF ilikuwa ni timu yenye mafanikio ya kawaida? Ninaposema before SAF ninamaanisha kabla ya mwaka 1986

Unaposema Man Utd ni business club na haiwezi kusubiri miaka 3, kwani mpaka sasa imeshakaa miaka mingapi bila EPL, miaka 6

Kuifananisha situation ya Man Utd na Real Madrid au Bayern ni kupotoka.

City, Chelsea, Liverpool na kiasi flani Arsenal, Everton, Spurs wana power ya kununua kama United. Je Utd ana uwezo wa kutaka mchezaji yoyote kwa Spurs, Everton, Arsenal n.k na kumnunua? haiwezekani. Pale Uingireza hadi timu inayopambana isishuke daraja inaweza kununua mchezaji kwa £30milion (kumbuka Benteke kwenda Cristal Palace)

Kwenye soko la usajili kule Spain, Madrid anasumbuliwa na Barca tu. Atletico, Valencia, Sevila hawana uwezo wa kununua kama hao wakubwa wawili. Ligi sio competitive kiasi hicho. Na Madrid au Barca wakimtaka mchezaji kutoka hizo timu za laliga (second class) lazima wamchukue, hawana jeuri ya kukataa.

Ujerumani hivyo hivyo, Bayern ndio baba lao. Dortmond, Leverkusen, Wolfborg, Schalkle n.k hawana uwezo wa kununua kama Bayern. Bayern anachukua mchezaji Dortmund (second biggest in German).

Kwahiyo kwa Spain na Ujerumani nguvu ya pesa inaweza kutumika ku maintain status ya club lakini si Uigerezs
Mkuu Man U kabla ya Saf ilikuwa timu kubwa pia, kulikuwa na busby babies na holy trinity (Bobby charlton, George best, denis law)

Walichukua ubingwa wa ulaya, uchezaji wa dunia na hata kuipa England world cup.

Ndio maana hata record za sasa ukisikia watu wanavunja kama ya Rooney magoli utasikia amevunja ya charlton ama unaambiwa namba 7 man u ni ya ma legend ilianzia kwa best etc.

Sema baada ya busby Man U ikapitia kipindi kigumu mpaka kuja fergie.
 
Pulisic huyu anaekaa bech Dortmund?

Mchezaji anasoteshwa bench na Overrated wa Kiengereza (Sancho) unataka kusema ataziba pengo la Hazard?
Tungelikwisha Mkuta katuwa Bayern
Huyo sio mchezaji wa Dortmund ni wa Chelsea tulimrudisha akamalizie msimu
 
Pulisic huyu anaekaa bech Dortmund?

Mchezaji anasoteshwa bench na Overrated wa Kiengereza (Sancho) unataka kusema ataziba pengo la Hazard?
Tungelikwisha Mkuta katuwa Bayern
Sasa wewe unafikiri kilichowakosesha ubingwa nini

Kocha mjinga yule kisa MTU ameshauzwa ndio usimchezeshe
 
Ha ha ha ha hamuwezi kufanya long run na mkafanikiwa bila yule kijana. Labda aondoke halafu mtengeneze mfumo mwingine wachezaji waelewane ndipo mrudi mstarini. Kwa hyo akiondoka tegemeeni kuyumba kwa msimu mmoja au miwili mbele kabla hamjarudi mstarini. Tunza hii comment na ikitokea nimesahau unikumbushe pale yatapowakuta
Ndio maana nikamtaja pulisic, japo hamfikii hazard kiuwezo lakini hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Sio Pulisic tu hata Zouma anarudi... Giroud+ Hazard wanasepa mbaki na Higuain+ Odoi.
Tuombe uzima
Hazard pekee ataondoka, kumbuka tuna ban ya usajili wa vipindi viwili, kama rufaa yetu CAS ikigomewa basi haondoki MTU zaidi ya hazard
 
United nimeifaham miaka ya 2006 iv Nikiwa darasa la nne..
Your best player of all time duuh!! Sorry kwa kuuliza mkuu umeanza kuwa shabiki wa Utd toka lini?
Nimeanza kuifuatilia na kuwa mshabiki 2008-2009 toka hicho kipind mpaka sasa mchezaji ninaye mkubali sana kuwahi kuchezea Man United ni Herrera .
 
Your best player of all time ni herrera??!!!..what so special about him??
He is talented, passion yake kwa time pia anakaba vizuri sana anakupa uwakika wa udhibiti wa mchezaji iwapo amekabidhiwa amkabe.
 
Sioni msoto kabisa

Chelsea haimtegemei mchezaji mmoja kama barcelona

Hapo naona kama unamvunjia heshima Hazard na kujidanganya tu mkuu, msimu huu yeye ndo ameongoza kwa Assist na Magoli kwenye club yenu akiwa na goli 16 na assist 15 na hyo ni premier league tu sasa kwa mchango kama huo nani ataweza ziba pengo lake pale akiondoka kwa akili yako?pamoja na kuchangia hvyo yeye binafsi bdo timu yenu imestruggle kdgo kuingia top 4, hapo unajifunza nn?imagine asingekuwepo ss, btw yeye ndo anaongoza kwa assist PL nzima.

Kwenye tuzo zenu za msimu huu jamaa kachukua kila kitu,Mchezaji bora,Mfungaji bora,Na goli bora la msimu alafu unadiliki kusema hammtegemei hebu kuwa serious kijana! Hao kina Willian sijui Pedro na Higuain ni majina tu ila kimchango hakuna aliemkaribia acha kumfikia hata kidgo!
 
Kumbuka hazard amekuja akitoka lile kiwango chake hakikuwa na tofauti na pulisic

Hazard amekuza kiwango chake zaidi akiwa na Chelsea
Hazard ashaonyesha uajabu na utofauti Mkubwa toka yupo lile. Ferg mwenyewe alimpigania sana ila Chelsea wakawin battle. Na sababu mojawapo ya ferg kumuacha ni kutokana na demand ya hazard alitaka timu itayompa uburu sana Wa kucheza namba kumi kuliko winga na jezi alisema angependelea sana kuvaa #10 kitu ambacho kisingewezekana kwa Man U sababu jezi no 10 alikuwa nayo Rooney na namba kumi alimuwa akicheza Rooney pia na alikuwa moto fire balaa a. k.a baba mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom