Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mou alikuwa na mapungufu yake but he is so much better by far than huyu Ole hatufai we should sack him hawa virus kina pogba young smalling ringard trashford jones waondoke tu
 
WAZEE WA KUJIPENDEKEZA KWA TIMU ZA WATU NAONA TAYARI MMESHAPATA BWANA MPYA WA KULALA NAE USIKU WA LEO HAHAHAHAHAHAHAHAH
Kwahiyo Leicester wiki iliyopita alikuwa ni bwana wenu

Hongereni kwa kusindikiza mpaka mwisho

Katika award ambazo Klop anapaswa kupata ni kuwa msindikizaji bora
 
Kwahiyo Leicester wiki iliyopita alikuwa ni bwana wenu

Hongereni kwa kusindikiza mpaka mwisho

Katika award ambazo Klop anapaswa kupata ni kuwa msindikizaji bora
Nitakuwa mjinga kujibishana na shabiki ambaye timu yake inafungwa mpaka na Cardiff city MANCHESTER UNITED si kama TOILET PAPER TU
 
Hii timu mimi nimeidharau kiasi kwamba wangekuwa wanajua ninavyowaona kwenye mtazamo wa kipuuzi, hakika wangeacha kucheza soka.

Ole Guna naye ni macho tu kama paka hana mbinu zozote zile, United imekuwa kama Mwanamke Mgumba kila dume linaweka mbinu zake kuona kama atazaa.
 
Hivi Ole alishindwa kuchagua captain. Maana captain angejaribu kudeal na wachezaji ili waache mgomo. Ni hakika hapo si bure pana mgomo. Kama Huddersfield na Cardiff ambao wameshashuka daraja bado wachezaji wanacheza kwa moyo, hawa nafasi ya sita (6) wapo nje ya mchezo. Something must be done.
Wachezaji wa Man U wamegeuka na kuwa kikundi cha waasi,vunjilia mbali hiki kikundi tuanze upya nyambafu!
 
tulivyoanza ndivyo tulivyomalizia.
tuwaombee liverpool msimu ujao wazidi kuwa kwenye ubora kinyume chake manchester city atabeba ubingwa mwezi January.
ningelikuwa na matumaini makubwa sana ya timu yetu kufanya vizuri msimu ujao kama OGS angelifanikiwa kutengeneza msingi imara wa kifalsafa kwa miezi mitano aliyokaa klabuni lakini jahazi limemshinda mwishoni hatimaye amebaki kuwa na mipasho mingi kama kahaba aliyetoa huduma na kushindwa kulipwa hela yake.

amesema kuna wachezaji leo ndio mechi yao ya mwisho basi ngoja tuone ila naamini antonio valencia ndiye mchezaji pekee mwenye uhakika wa kuondoka baada ya herrera.
 
Pale kuna kikundi cha wachezaji wameweka mgomo. Wanaamua ni lini na wap watacheza vizur. Only way manchester united inaweza pona ni kukiondoa hiko kikundi.
Hivi wakuu shida iko wapi jamani??.
Hata mechi ya mwisho tena nyumbani bado tunafungwa na kitimu hiki kweli

Kwa hiyo zile mechi walizoshinda ilikuwa kumuumiza Mou au??
Manake kocha ndo huyohuyo wachezaji ndo hao hao
Damn!!!
 
Congratulations for winning Sack the manager, hire the new one and sack him too trophy. Next year Jan 2020 you will look for another manager.
 
Back
Top Bottom