Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu yenu inatia huruma sana, zile kelele za Oleeee Oleeeee hazisikiki tena hapa, ni vilio na kusga meno kwa sasa. Poleni sana na litimu lenu libovu
 
I think something is wrong
IMG_20190512_181455.jpeg
 
Hivi wakuu shida iko wapi jamani??.
Hata mechi ya mwisho tena nyumbani bado tunafungwa na kitimu hiki kweli

Kwa hiyo zile mechi walizoshinda ilikuwa kumuumiza Mou au??
Manake kocha ndo huyohuyo wachezaji ndo hao hao
Damn!!!
 
Tunapigwa clean sheet, nyumbani! Wachezaji hawana uchungu na timu kabisa.
 
WAZEE WA KUJIPENDEKEZA KWA TIMU ZA WATU NAONA TAYARI MMESHAPATA BWANA MPYA WA KULALA NAE USIKU WA LEO HAHAHAHAHAHAHAHAH
 
Hivi Ole alishindwa kuchagua captain. Maana captain angejaribu kudeal na wachezaji ili waache mgomo. Ni hakika hapo si bure pana mgomo. Kama Huddersfield na Cardiff ambao wameshashuka daraja bado wachezaji wanacheza kwa moyo, hawa nafasi ya sita (6) wapo nje ya mchezo. Something must be done.
 
Beaten by relagated Cardiff, at Old Trafford

Chearing for City as EPL champion

That sum up our current situation
 
Back
Top Bottom