Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wangemuacha morinho afu wakamwaga pesa kusajili msimu ujao timu man u ingetisha sana.
Hii timu mimi nimeidharau kiasi kwamba wangekuwa wanajua ninavyowaona kwenye mtazamo wa kipuuzi, hakika wangeacha kucheza soka.

Ole Guna naye ni macho tu kama paka hana mbinu zozote zile, United imekuwa kama Mwanamke Mgumba kila dume linaweka mbinu zake kuona kama atazaa.
 
aiseee attempt zote hizopoleni sana fumua kikosi hiko
Screenshot_20190512-195636.jpeg
 
Duuuh...mbona mapema sana kukata tamaa Mkuu, si Pochetinho kadai hadi aandike historia ya UEFA na Tottenham Hotspur ndipo atakuwa huru kuondoka pale White Hartlane, ss mlikuwa mnataka mumsajili Conte au kocha yupi bora?
Hana jipya huyo pandikizi. Tunaacha makocha wenye Cv tunabeba huyu msugua benchi.
 
Duuuh...mbona mapema sana kukata tamaa Mkuu, si Pochetinho kadai hadi aandike historia ya UEFA na Tottenham Hotspur ndipo atakuwa huru kuondoka pale White Hartlane, ss mlikuwa mnataka mumsajili Conte au kocha yupi bora?
Tulikurupuka na ushindi aliopata na kirusi Pogba akachochea kuwa apewe mkataba na kweli tukampa. Sasa imekuwa ndiyo siyo, siyo ndiyo.

Mwanamke kabla hujamuoa atakuwa na bidii sana ila akiolewa hata kuoga haogi. (ndicho kafanya Ole Guna)
 
Daaah...! Sawa, so unadhani nini kifanyike ss hv ili kuinusuru Man Utd kuzidi kupoteza ubora wake

Back
Top Bottom