Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwenzio nimegeuka kuangalia mechi zilizopita naangalia maufundi ya luis nani dimitri na wengineo
√Man city wanamfukuzia Bruno Fernandez na wamefikia vizuri..timu yenye De bruyne,Bernado Silva,Gundogan,Silva na bado wanachukua kifaa kingine..Kimefunga goli za kutosha kama kiungo kushinda yeyote Europe

Hivi sisi tumelogwa na nani??

Hii timu yetu mbona inaenda kuwa ya kichoko hivi??

Bullshit
 
We all know who's the real loser in this match.
Don't mention Leicester please they had nothing to lose.
 
√Man city wanamfukuzia Bruno Fernandez na wamefikia vizuri..timu yenye De bruyne,Bernado Silva,Gundogan,Silva na bado wanachukua kifaa kingine..Kimefunga goli za kutosha kama kiungo kushinda yeyote Europe

Hivi sisi tumelogwa na nani??

Hii timu yetu mbona inaenda kuwa ya kichoko hivi??

Bullshit
Kuna habari kuwa Man City tayari wanamsajili Bruno Fernandes
 
Pogba want to leave Manchester United this summer ,Raiola will face Woodward at end of season also the future of Lukaku and De Gea are not clear

Solskjaer is furious about Anthony Martial attitude since he sign new contract

Its confirmed Ander Herrera & Antonio Valencia will leave United at end of the season,I hope Valencia will get some minutes at OT for the last time
 
Binafsi naona Ole hana uwezo wa kuijenga hii timu tena,hata ukiangalia sub zake unaelewa ni kama anacheza kamari tu.
Ole aliharibu tangu alipofika na kuanza kupalilia kiburi cha Pogba na kumfanya Rashford ajione Messi.

Pia wachezaji wote ni kama hawana nia ya kuichezea MUFC.

Swala la kuijenga timu ni bora lianze na kutafuta kocha mzoefu.


Hata Conte anataka kuifunza MUFC.
Mkuu unacheka Conte kuifunza Manure ushangai Ole kupewa mkataba.
 
Katika wachezaji 20+ , 7 tuu ndio wanastahiri kubaki! tulipo ni pabaya

Anyway, wachezaji watakao ondoka ni wale wanaouzika, watu kama young, jones, smalling etc wataendelea kuwepo.

Na hili ndio linaturudisha nyuma, unaleta wachezaji wazuri wakiingia dressing room anakutana na jones( kaongezewa mkataba wa miaka 4+1) ambae anakula pauni 120,000 kwa wiki, eti huyu ndio core ya timu. Upuuzi kweli

Hawa waingereza dawa yao ni kufukuza ukitegemea waombe kuondoka wenyewe kama fellain au blind au Valencia utasubiri sana cause hapo ndio wamefika home. Akicheza mechi mbili msimu mzima poa tu kwake.

Hii timu inauzi sana,
Hata kwa mkopo watolewe.
 
Haha dirisha la usajili lina miezi mitatu mkuu au unataka na wolvehampton watutoe nafasi ya sita ?
Inamaana Barca, Bayern, Madrid, Man City hawaioni hiyo miezi mitatu?

Kumbuka unahitaji wachezaji majembe ambao wanamezewa mate na hao wengine.
 
INASEMEKANA: Wakala wa Pogba watawasilisha maombi ya mchezaji wake kutaka kuondoka mwisho wa msimu huu, wakati huo huo Solskjaer amemwambia CEO kama Pogba anataka kuondoka amruhusu aende, lakini CEO amemwambia kuondoka kwa Pogba pale United timu itapoteza mvuto.
 
Unachoongea ni sawa Manchester United tuna wachezaji wazuri kuliko Liverpool lakini Liverpool wana timu nzuri kuliko sisi sababu management wamempa kocha full authority kwenye maamuzi ya kiufundi na kusimamia nidhamu ya wachezaji na wanajitahidi kununua wachezaji ambao wanafit kwenye profile ya timu yao.Klopp aligundua wana tatizo la defence (GK,FB,RB,CBs) aliamchezesha Milner kama RB ,akawanunua Karius na Robertson baadae Karius akachemsha akaamua kuwanunua Allison,Van Djik na kumpromote Trent-Anord baada ya Clyne kuumia so ndani mwaka mmoja Liverpool hawana tena tatizo la defence baadae akahamia kwenye kiungo akawaleta (Keita,Fabinho,Shaqiri) now midfield yao imeshatulia they just need back up for Mane,Salah,Firmino

Niliwahi kusema wachezaji wengi waliopo hawastahili kuchezea United sio sababu ya kiwango tu but their ego & attitude sio ya kuchezea United kabisa .United ilishafungwa 6-1 against City,5-0 against Chelsea but wachezaji walikuwa wanapambana sio hawa ambao akiwekwa benchi utasikia kesho anataka kuondoka

Pia tumesajili wachezaji ambao ni majeruhi hawawezi kucheza mechi 7 mfululizo bado tunawalipa fedha nyingi na hakuna wanachofanya uwanjani
Hata ukitaja mchezaji mmoja mmoja hauna wachezaji wazuri si tu zaidi ya Liverpool hata zaidi ya Wolverhampton hauna
 
√Man city wanamfukuzia Bruno Fernandez na wamefikia vizuri..timu yenye De bruyne,Bernado Silva,Gundogan,Silva na bado wanachukua kifaa kingine..Kimefunga goli za kutosha kama kiungo kushinda yeyote Europe

Hivi sisi tumelogwa na nani??

Hii timu yetu mbona inaenda kuwa ya kichoko hivi??

Bullshit
Hahahaha

Mkuu kunywa maji kwanza

Ila hii timu sometime Inauzi sana

Wenzetu wapo ruthless kwenye kusajili, sisi tunawataja tu

Tunataka kufanana na Arsenal kwenye mambo mengi sana

Ngoja tujipe moyo kuna mambo yanafanyika behind the scene
 
Kutoingia top 4 kunaweza kutunyima nafasi ya kusajili world class players ambao wao UCL ni kila kitu kwao

OGS amewahi Sema anataka wachezaji ambao motivation yao kuja United si 25% +salary

Je bila kivutio cha kushiriki UCL tunaweza kupata wachezaji wenye kiwango kikubwa pasipo kushawishiwa na mshahara mnono?

Embu tuone watu tunaweza kuwa nao kwa mujibu wa matamanio ya OGS

Defenders
Koulibally, Maguire, Mouinier, Wan Bissaka,

Midfielders
Neves, Ndidi, Madison, Partey

Kutoka Academy na Mkopo
Greenwood, Gomez, Chong, Tuanzebe, TFM, Henderson, Garner,
 
Back
Top Bottom