Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kutoingia top 4 kunaweza kutunyima nafasi ya kusajili world class players ambao wao UCL ni kila kitu kwao

OGS amewahi Sema anataka wachezaji ambao motivation yao kuja United si 25% +salary

Je bila kivutio cha kushiriki UCL tunaweza kupata wachezaji wenye kiwango kikubwa pasipo kushawishiwa na mshahara mnono?

Embu tuone watu tunaweza kuwa nao kwa mujibu wa matamanio ya OGS

Defenders
Koulibally, Maguire, Mouinier, Wan Bissaka,

Midfielders
Neves, Ndidi, Madison, Partey

Kutoka Academy na Mkopo
Greenwood, Gomez, Chong, Tuanzebe, TFM, Henderson, Garner,
Mkuu kitendo cha kuwapa mikataba wachezaji kama Smalling, Jones na Young inaonesha wazi hamtafanya Transfer market ya maana summer hii hii timu inayomaliza msimu ndio mtakuwa nayo tena next season Transfer mtafanya lakini sio kama hii uliyosema wewe
 
Mkuu kitendo cha kuwapa mikataba wachezaji kama Smalling, Jones na Young inaonesha wazi hamtafanya Transfer market ya maana summer hii hii timu inayomaliza msimu ndio mtakuwa nayo tena next season Transfer mtafanya lakini sio kama hii uliyosema wewe
Hapo sijamaanisha tutasajili wote mkuu

Nimejaribu kuainisha options zilizopo

Kuhusu Jones, Smalling na Young, nahisi wamepewa mkataba ili wasiondoke free japo pia upo uwezekana wa hao watu kuwepo next season

Ukiniuliza mimi kuhusu kuwa na hao wachezaji ulionitajia, Jones nataka auzwe kwa asilimia zote, lakini Smalling na Young wakibaki kama back up kwa msimu ujao sitajali
 
INASEMEKANA: Wakala wa Pogba watawasilisha maombi ya mchezaji wake kutaka kuondoka mwisho wa msimu huu, wakati huo huo Solskjaer amemwambia CEO kama Pogba anataka kuondoka amruhusu aende, lakini CEO amemwambia kuondoka kwa Pogba pale United timu itapoteza mvuto.
Hii kauli manchunian wameisikia kweli
 
Kama kawaida yetu tushaanza ule unanga wetu wa miaka yote. Saiv ni Messi mpya tunamnyatia. Mwisho wa siku anaenda kwingne. Inakuaga kama vile ss ni daraja la timu nyingn kupata wachezaji
20190507_181630_rmscr-1.jpeg
 
# unsubscribe Manchester united thread#
teh teh teh hatari sanaaaa ukimwaga mboga wenzako wanamwaga ugali
#UnfollowManUnited: Manchester United fans start movement to boycott club on Twitter
Manchester United's official Twitter account has lost nearly 10,000 followers in 16 hours because of the #UnfollowManUnited campaign.
 
Ume summerize vizuri mkuu
That is your view. In six years now, MUFC imekuwa vururu, kimpira haina plans imo imo tu, yet, the club remained the most valuable club and became the richest in club in the world than Real Madrid despite being 3 times UCL winners, than Man city who played way much better kuliko us. Why is that? The answer is simple; Ed Woodward. Huyu akienda City leo, kesho city inapanda thamani. So far, pamoja na yote, uchumi wa Man Utd kwa miaka sita ya sintofahamu umesimama kidete. Na yote hio ni Umaarufu wa Klabu na Brand yake na has nothing to do with performance.


Ni kweli timu zinapendwa kutokana na perfomance yake uwanjani, lakini Man utd inapendwa hata ikiwa perfomance yake mbovu. tangu Ole apewe mkataba ameshinda mechi ngapi? Lakini mashabiki wanaendelea kujitokeza uwanjani despite the poor perfomance. Meanwhile, majirani zetu walioko Happy, they dont even fill their 30000 seater stadium! There is a difference between Loyal fans na Plastic fans, Manutd fans are loyal and City fans are not, just glory hunters.

Unatakiwa ujue kuwa Manutd already Built an empire na hii ndio Advantage. Ukilinganisha City na Chelsea, nitakubaliana na mtazamo wako kwa asilimia nyingi tu, but MUFC kwa MCFC, sikubaliani na wewe.


Vitu vitabadilika tu katika Klabu. na one way to do this ni kuhakikisha klabu inaanguka kimapato. Hapa tunahitaji msaada wa Medias, kuacha kufocus na MUFC. British Media zina big influence, na sasa they have to shift to City, ili City apate better deals (Za halali sio za kupindisha pindisha). Once MUFC has fallen financially, Glazers wataona wakati umefika wa kuiuza and hopefully it is sold to someone with football passion na sio business passion.

Hili Genge la kina Glazers ndio linaiumiza Klabu. They dont give a F**** with Club perfomance on the pitch, they are just checking financial sheets zinasemaje
teh teh teh hatari sanaaaa ukimwaga mboga wenzako wanamwaga ugali
#UnfollowManUnited: Manchester United fans start movement to boycott club on Twitter
Manchester United's official Twitter account has lost nearly 10,000 followers in 16 hours because of the #UnfollowManUnited campaign.
Mambo Ni
Hii kampeni ikiendelea deal ya biashara za club lazima ziyumbe.....
 
Back
Top Bottom