Uzuri WA mou MPE hela atakujengea kikos cha muda mrefu,Mou alitaka ela afumue timu wakambania sasa kwa Ole itatumika ela mpaka watashangaana huko ofisini
Waliwahi sana kumpa timu, ilitakiwa wamlete MTU kama poch,au conteHuyo OLE mliokuwa mnamsifia yuko wapi alishinda vimechi vya mwanzo sio kwa uwezo ile ilikuwa i furaha ya wachezaji kufukuzwa kwa Jose........OLE hana CV ya kuiongoza Manchester United Cheap option inamadhara
Asenali anaeza adandie kupitia mlang mdgUyu arsenal ansjisumbua tu na yy apo hehehe
Sikuichukua nilimuona ashley young analiaMkuu naomba utume hako kapic nione hao wazenge wanaolia.
Mkuu arsenal ana options 2Uyu arsenal ansjisumbua tu na yy apo hehehe
Ole shenzi Sana......Lukaku ana tatizo gani?
Katika michezo iliyopita Lukaku amekuwa bora sana, haya mahaba ya Ole kwa Rashford yatamkwamisha.
timu gani unayoisemea?? hata awe Pep na Klopp hakuna maajabu katika hii timuWaliwahi sana kumpa timu, ilitakiwa wamlete MTU kama poch,au conte
Huwezi kujenga timu na kocha mbahatishaji..unahitaji mwalimu wa soka kwelikweliBinafsi naona Ole hana uwezo wa kuijenga hii timu tena,hata ukiangalia sub zake unaelewa ni kama anacheza kamari tu.
Ole aliharibu tangu alipofika na kuanza kupalilia kiburi cha Pogba na kumfanya Rashford ajione Messi.
Pia wachezaji wote ni kama hawana nia ya kuichezea MUFC.
Swala la kuijenga timu ni bora lianze na kutafuta kocha mzoefu.
Hata Conte anataka kuifunza MUFC.
Huwezi kujenga timu na kocha mbahatishaji..unahitaji mwalimu wa soka kwelikweli
Unfortunately,naona pia Ole anauwezo mdogo sana hata nje ya uwanja tu
Huwezi kujenga timu na kocha mbahatishaji..unahitaji mwalimu wa soka kwelikweli
Unfortunately,naona pia Ole anauwezo mdogo sana hata nje ya uwanja tu
Ni kweli mi naona afadhali Morinho kuliko huyu ole
Lakin mkuu mlishangilia sana My papa (Mou) alivosepaIla kwa Ole pia nako tulivyoo, not mature. Bora tungebaki na Mou.Majuto ni mjukuu
Bado angepewa timu mwisho Wa msimu kwa sababu kilichofanyika hapa ni unafiki Wa wachezaji,so angekuwa hajapewa mkataba naamini hivi vichezaji vingeendelea kujikaza kama vilivyofanya awaliWaliwahi sana kumpa timu, ilitakiwa wamlete MTU kama poch,au conte