Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie ongeeeni yote lakini Mimi hapa ubongo ni Kama umepiga ganzi siamini kabisa kinachoendelea!Man U wa kuililia nafasi ya nne kiasi hiki?really?tunaipigania kabisa nafasi ya nne Kama tunaipigania ubingwa?kuna jamaa zangu mashabiki wa arsenal nilikuwa nawatania balaa enzi za mzee Fegi jinsi mbio zao zilivyokuwa zinabadilika ikifika february-march na kuhamishia nguvu zote kupigania top four.Yaani walikuwa wanaanza ligi kwa mbwembwe nyingi lakini ikifika kipindi hicho matumaini yao ya ubingwa yanakuwa yamepotea wanabadili gia angani.sikuwahi kuimagine Kuwa Kuna siku Kama hizi zitakuja....tunalia kabisa tumekosa nafasi ya nne!!!!!!this is sh***t!yaani pale walipo Man City na Liverpool zile mbio sisi ndio tunapostahili na sio huku mavumbini!!!!!inauma Sana hasa kwa sisi wengine tunaougua ugonjwa wa soka,naumia Sana lakini ndio hivyo napambana na Hali yangu.bahati mbaya kwangu huwa nashindwa kujizuia kuangalia mechi za man u,yaani tunapigwa Kama siku ile na everton mtu unajiapiza siangalii Tena mechi ya man u lakini ikifika siku anacheza unakomaa dakika ya 15-20 huyo kwenye kideo na tabasamu la kuvizia!Cha Moto nakiona......lakini nitabaki kuwa RED FOREVER.
Pole kunywa maji baba
 
Haya maneno nimeshindwa kuamini kama ni Mourinho mwenyewe. Kweli kiburi na majivuno vina mwisho. Amerudi kuwa mdogo, mwanafunzi, na anakiri wazi kuwa yeye ni school boy kwa pep na clop! Maajabu haya.
Itakuwa hujaelewa vizuri alikiimanisha hapo. Mourinho ni jeuri, hapo kapiga jungu + kusimamia mtizamo wake wa siku zote.
 
Nyie ongeeeni yote lakini Mimi hapa ubongo ni Kama umepiga ganzi siamini kabisa kinachoendelea!Man U wa kuililia nafasi ya nne kiasi hiki?really?tunaipigania kabisa nafasi ya nne Kama tunaipigania ubingwa?kuna jamaa zangu mashabiki wa arsenal nilikuwa nawatania balaa enzi za mzee Fegi jinsi mbio zao zilivyokuwa zinabadilika ikifika february-march na kuhamishia nguvu zote kupigania top four.Yaani walikuwa wanaanza ligi kwa mbwembwe nyingi lakini ikifika kipindi hicho matumaini yao ya ubingwa yanakuwa yamepotea wanabadili gia angani.sikuwahi kuimagine Kuwa Kuna siku Kama hizi zitakuja....tunalia kabisa tumekosa nafasi ya nne!!!!!!this is sh***t!yaani pale walipo Man City na Liverpool zile mbio sisi ndio tunapostahili na sio huku mavumbini!!!!!inauma Sana hasa kwa sisi wengine tunaougua ugonjwa wa soka,naumia Sana lakini ndio hivyo napambana na Hali yangu.bahati mbaya kwangu huwa nashindwa kujizuia kuangalia mechi za man u,yaani tunapigwa Kama siku ile na everton mtu unajiapiza siangalii Tena mechi ya man u lakini ikifika siku anacheza unakomaa dakika ya 15-20 huyo kwenye kideo na tabasamu la kuvizia!Cha Moto nakiona......lakini nitabaki kuwa RED FOREVER.
Acha tu ndugu
 
Pamoja na kwamba washabiki wengi pale Manchester unakuta wameshakata seasonal tickets, Kuna kipindi tunapokuwa na timu kama hii wangegoma kuingia uwanjani ili kushinikiza bodi ibadilike na kununua wachezaji wenye hadhi ya kuchezea Man U. Lingewezekana hilo basi Glazer's family na yule mbwa Ed Woodward wangenyooka na wangejua machungu walonayo mashabiki. Shida ndo hivo michezaji inazingua balaa na haibadiliki na bado washabiki wanawasapoti kishenzi.
 
Pole sana brother umeongea kwa uchungu sana,lakini hamna namna haya ndiyo maisha ya soka lolote linaweza tokea,tulikuwa tumeisahau futui sasa tunarudi tena huko huko kuungana na malafiki zetu Asernal.
We acha tu kinachoendelea man u kinatuumiza Sana wengi lakini ndio hivyo tena naona inabidi tuzoee tu maana miaka inakatika hivyo na hakuna matumaini kwamba Hali hii itaisha hivi karibuni.
 
IMG_5191.JPG
 
Pole sana Chifu

Back
Top Bottom