BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
hahahahaaaaa matokeo yetu dhidi ya PSG na juventus ugenini yametujaza hamasa ya kuwa tuna uwezo wa kuvuka kikombe cha messi,Kama nawaona mnavyoomba Mungu awaepushie hiki kikombe!
Hiki ni cha kwenu.
hahahahaaaaa matokeo yetu dhidi ya PSG na juventus ugenini yametujaza hamasa ya kuwa tuna uwezo wa kuvuka kikombe cha messi,
muda huo huo pia yametujaza ujinga uliochanganyika na upumbavu ya kwamba tuendelee kutegemea comeback kila hatua.
Kalale tu mkuu msije pigwa hamsa ukajinyeaMbona kama nimeingiwa na woga ..gafla tu mwili unatetemeka wajameni
hizi dakika 4 zilizobakia acha nimuombe muumba wa kenge, panya, sungura, nyumbu, twiga na wengineo ajaalie jordi alba apunguze zile kasheshe zake kama ilivyokuwa mechi ya kwanza.Kwa kweli kwa zile comebacks mna haki ya kuwa na imani angalau ndogo.
Ila hiyo siyo ya kuitegemea kila mara. Nimawaamini mnapocheza huku odds zikiwa zinawakataa. Ila kwa Messi, mmh!