hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,035
Walitaka kumchafulia jina mourinho aonekane kashindwa kufundishaMourinho aliposema tunahitaji mabeki alionekana kichaa. Taratibu tutamuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitaka kumchafulia jina mourinho aonekane kashindwa kufundishaMourinho aliposema tunahitaji mabeki alionekana kichaa. Taratibu tutamuelewa.
Hata enzi za mitume kuna unabii haukutimiaDakika ya 35' 2-0, mpira si siasa...
Hivi inakuwaje Ajax wanacheza mpira mzuri kuliko Man U!?
Thubutu wakuundie kamati ya maadiliHivi jamani naruhusiwa kuiita Man Utd Dhaifu..?![]()


.Unaongea pumba ndio maana nakupangia MkuuMkuu usinipangie cha kupost
Ni kweli kabisa aise...pesa zipo za kununua classic players sijui tatizo ni nini...Mkuu mimi nawaomba barca watupige ata tano ili watu washtuke usingizini man u ya sasa ni uchafu mtupu timu inabid ipigwe ili tujue tuna matatizo kibao leo naomba ata bahati uwe upande wa barca watufunge kisawasawa
Huwezi kuwa mshindani na kikosi na wachezaji wapuuzi kama wetu
Eti huyu young ni wa kumuongezea mkataba mpya kweli??, martial??? Eyi rashford nae anadai mshahara mkubwa shubamiit ungeseungese tu wanafsnya uwanjani!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mungekuwa mnamtumia meseji DMNAOMBA NIMSAPOTI YULE MDAU ALIYESEMA OGS SIO KOCHA...TABU YOTE HII TUNAPATA ANAMUINGIZA DALOT!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
De Gea = Taibi.