Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwakan futuhi

Kabisa mkuu

Yaani gemu ya Man city pale old Traford inatakiwa washinde maana watamchomoa nani kati ya Tottenham na Nyie?? Tottenham hata akipigwa na man City bado anakuwa juu ya man Utd kwa goal difference na nakwambia man utd ya msimu huu haina ubavu wa kupambana na Spurs kwenye magoli
 
Kama Alexis na Lukaku hawapati chance Leo, watakuwa na haki 100% ya kutaka kuondoka OT. Yaani OGS anamuamini Dalot kuliko wao tena kwenye game inayohitaji magoli 4 ndani ya nusu SAA kwa Barca?
 
Kuna mtu man u lia lia leo aliniambia final ucl ni man u na juve,sijui ana hali gani huko aliko,maana hapa naziona hamsaa zile zinakuja,hapa cha kufanya ni kumuomba "magician" messi awe na roho ya huruma kidogo
 
Back
Top Bottom