Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna zile mbili waliotea Dakika za mwanzo waligonga mwamba Mara mbili..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan hawa jamaa mpira wao ni kuvizia tu,

Na miaka yote man u huwa hatuwez kwenye swala la kiungo tunapokutana

Anachofanya huwa anatuchezea rafu akiamin wachezaj wa arsenal ni lain hivo wataogopa,then anavizia counter attack na anapata matokeo

Unai alishawasoma ,toka game ya FA na pia alifatilia video ya game yao na PSG ,

Ndio maana Leo kwa asilimia kubwa tumewazuia hizo counter attack zao

Hakuna mlichozuia pale zaidi ya Lukaku na Rashford kukosa chance za wazi, kama we uliona timu yako imetawala sana basi

kweli mpira hujui,ukiangalia possesion tuliwazidi ss sielewi unaongea nn, hio kuvizia unayoongelea ni tactic ya mpira ambayo

timu zote hutumia inaitwa counter Attack hata nyinyi pia mnaifanya sana na sio kitu cha ajabu kwenye mpira labda kama

umeanza kuangalia mpira juzi juzi.
 
acha kutoa upupu mkuu game wote tumeiangalia labda wewe ulijichimbia ukawa unaangalia rekodi ya manure na PSG....kwahiyo hizo nafasi mlikosa nyinyi peke yenu?na zile ambazo kina lacazette walikuwa wanakosa tungehesabu si mngepigwa 8 leo.....kubali kipigo tu
 
De gea alikuwa anamlaum nan gol la kwanza? Sijaelewa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani hujui jana kulikuwa na janga kubwa la upepo. Kuanzia ile mechi ya mchana malalamiko yalikuwa mengi (kumbuka na goli la kona kwenye mechi ya liverpool lililoingia lenyewe kwa kusukumwa na upepo) Mechi za jana mipira ilikuwa ikikatika sana. Lile goli la deGea upepo uliuvuta mpira ukahamia direction nyingine. Ndicho alichokuwa analalamikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana mech na man city mwenye njaa ya ubingwa

Ana mech na Chelsea

Top 4 itakuwa ni sawa na ngamia kupenya tundu LA sindano

Kwa UCL wawe wakweli tu PSG wamemtoa kwa msaada wa VAR na ujinga wao PSG,

Mpira toka unaanza man u yupo nyuma,

Anavizia counter, PSG wakarelax wakijua mech imeisha , counter zikazaa mabao mawili, na MOJA LA VAR

Lakin kimpira man u anakaa nyuma ,hata Leo dk 20 za mwanzo kakaa nyuma mpaka tulipomfunga ndio kajipapatua kuja mbele

Kwahali hii UCL utakutana na wahuni wanakubemenda mapema

Unaelekea futuhi msimu ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
NI DHAHIRI HILI LA ROBO FAINALI UCL LIMEKUUMA SANA. NA BADO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine ukumbuke kuweka akiba ya maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiba ipi Mkuu

Kuna neno lisilo la kweli hata moja hapo

Kila nilichosema ni cha kweli

Jana was just not our day

Wamefunga magoli ambayo katikà siku ambayo tupo kwenye kiwango chetu tusingefungwa na tumekosa magoli ambayo siku tupo kwenye kiwango chetu tusingekosa (rejea kusoma tena hiyo post, utaona nimeongea kitu cha namna hiyo)

Ndugu yangu watu hatujaanza kufuatilia mpira jana

The next stop Wolves, quarter final FA ..... Siku moja baada ya draw ya UCL quarter final

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo uchambue tena baada ya haya matokeo ya Leo

Muwe mnaacha ujuaji, mpira hauchezwi mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa shimoni baada ya ushindi wa ndondokela ndio unajitokeza

Kujua kwangu kuna kuuma sana? Kama mtu anajua, anajua tu

By the way hata baada ya kufungwa nime comment hivyo soma post zote kama unapenda sana kupata maoni ya anayejua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usingizi nakosa asee, yaani nafungwa na aseno. Kwangu mimi aseno ji kagenge flan tu hivi kuifunga United ni kukoseana heshima. At least ningefungwa na wolves au burnely.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli kufungwa na kibonde kama Arsenane inakera lakini mwisho wa siku hatuwezi kuwafunga sisi tu kila siku, ukilielewa hilo hutaumiza kichwa

Wiki ijayo tuna mechi muhimu sana na Wolves kwenye FA ambapo kwenye mashindano haya ndio tuliwanyoosha hawa wavulana

Mechi ya jana ni sawa na umegombana na mtu akakupiga ngumi ya mdomoni kwa kukustukiza ukatoa damu halafu watu wakaja kuachanisha muda huo huo

Bado tupo kwenye top 4 race Mkuu hivyo hutakiwi kuwaza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapotembelea emirates hujawahi kucheza vzr pale kati hata kama utapata matokeo

Kubali Leo zile counter attack zenu hazijafanya kazi

Unadhan angekuwepo huyo Herrera , ungetawala kiungo?

Hata ile mech ya FA bado kiungo ulipotea ,bila ukawin kwenye counter

Kitu ambacho Leo tumekiziluia kwa asilimia kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi 6 pale emirates, Man Utd won 6, Arsenal won 6

Na bado mtu anakwambia huwa tukienda pale hatuchezi vizuri

Then, kama huwa hatuchezi vizuri halafu huwa tunashinda, wale tunaowafunga watakuwa huwa hawachezi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan hawa jamaa mpira wao ni kuvizia tu,

Na miaka yote man u huwa hatuwez kwenye swala la kiungo tunapokutana

Anachofanya huwa anatuchezea rafu akiamin wachezaj wa arsenal ni lain hivo wataogopa,then anavizia counter attack na anapata matokeo

Unai alishawasoma ,toka game ya FA na pia alifatilia video ya game yao na PSG ,

Ndio maana Leo kwa asilimia kubwa tumewazuia hizo counter attack zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Unai

PSG reject

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mlichozuia pale zaidi ya Lukaku na Rashford kukosa chance za wazi, kama we uliona timu yako imetawala sana basi

kweli mpira hujui,ukiangalia possesion tuliwazidi ss sielewi unaongea nn, hio kuvizia unayoongelea ni tactic ya mpira ambayo

timu zote hutumia inaitwa counter Attack hata nyinyi pia mnaifanya sana na sio kitu cha ajabu kwenye mpira labda kama

umeanza kuangalia mpira juzi juzi.
Anasema eti alitawala kiungo, nadhani alikuwa anaangalia game tofauti na tuliyoangalia wengine

Arsenal walicheza vizuri dakika 15 za kwanza, baada ya hapo wakapoteana

Game ya jana imeamuliwa na bahati, sometime bahati kwenye soka ina nafasi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kutoa upupu mkuu game wote tumeiangalia labda wewe ulijichimbia ukawa unaangalia rekodi ya manure na PSG....kwahiyo hizo nafasi mlikosa nyinyi peke yenu?na zile ambazo kina lacazette walikuwa wanakosa tungehesabu si mngepigwa 8 leo.....kubali kipigo tu
8, unenikumbusha mlizopigwa 2011

Kumbe mzee unakumbukumbu

Wewe upo Bongo unabisha, Unai mwenyewe amesema Leno ndio ameishindia Arsenal game ya jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom