Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Awe anatokea bench. Lakin sio wa kuanza. Alisababisha mpaka arsenal nzima inahamia kwa. Ashley young kukawa ndio uchochoro.
Angekuwepo herrera kule ujinga huu usinge uona.
Mkuu umeona kitu naona watu wote hawakioni.halftime ilikua unatoa fred unaweka tomnei.maana weaknes ilikua kwa fred mipira yote ya aseno inapita hapo kwake young anapata shida.
All in all fred siyo mchezaji wa kucheza man u.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani hujui jana kulikuwa na janga kubwa la upepo. Kuanzia ile mechi ya mchana malalamiko yalikuwa mengi (kumbuka na goli la kona kwenye mechi ya liverpool lililoingia lenyewe kwa kusukumwa na upepo) Mechi za jana mipira ilikuwa ikikatika sana. Lile goli la deGea upepo uliuvuta mpira ukahamia direction nyingine. Ndicho alichokuwa analalamikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha kwaiyo mumefungwa kwa sababu ya Wind ...kabla ya gemu mungemuita Klopp aje awambie hali ya upepo itakuwaje ...hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiba ipi Mkuu

Kuna neno lisilo la kweli hata moja hapo

Kila nilichosema ni cha kweli

Jana was just not our day

Wamefunga magoli ambayo katikà siku ambayo tupo kwenye kiwango chetu tusingefungwa na tumekosa magoli ambayo siku tupo kwenye kiwango chetu tusingekosa (rejea kusoma tena hiyo post, utaona nimeongea kitu cha namna hiyo)

Ndugu yangu watu hatujaanza kufuatilia mpira jana

The next stop Wolves, quarter final FA ..... Siku moja baada ya draw ya UCL quarter final

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka mulisema kwenye gemu mlizobakiza ..Arsenal na Chelsea muna uhakika wa point sita ..

Si ndo hivo mulisema? Muwe munaeka akiba ya maneno...

Overconfidence imewaumbua/itawaumbua..

Ndio hizo ni game tulizotegemea kushinda, lakini mwisho wa siku imekuwa tofauti

Hata mke wako nyumbani unaweza ukawa unampiga ngumi za kutosha, halafu siku moja akakubahatisha vikofi viwili

Mmebaki nyie sasa pale OT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka mulisema kwenye gemu mlizobakiza ..Arsenal na Chelsea muna uhakika wa point sita ..

Si ndo hivo mulisema? Muwe munaeka akiba ya maneno...

Overconfidence imewaumbua/itawaumbua..

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hii wewe ndio unawafundisha watu waweke akiba ya maneno,
Kule kwenye uzi wenu umetuambia nini?
Eti chelsea mnashinda mechi zote zilizobaki?

Sent using simu mbovu
 
Nilikuwa nimekula ban leo napitia review za gemu ya jana kwenye jukwaa letu na mimi nina haya ya kusema;

√Kwa upande wangu mchezaji aliyecheza vizuri kuliko wote jana ni Fred,,Yes ni Fred..alikuwa akipata mpira anawaza kwenda mbele,hachezi back pass..alifanya makosa machache ambayo hata wachezaji wengine wanayafanya..kuna watu walitaka McTominay acheze,je Tominay angekuoffer kitu gani cha kitofauti ambacho kingefanya tushinde gemu ya jana..Fred is good on team going foward...7/10 for Fred

√ Kuna watu tusiposhinda tunakuwa tunawapa lawama ambazo hata hawazistahili..Sasa kwa nini hamsemi kuwa jana Rashford alikuwa selfish,non -Clinical??..kwa nini hamsemi Pogba alikuwa hajatulia jana??

√All in all hatuwezi kushinda mechi zote kuna ambazo lazima tuzipoteze,let looking foward kwenye mechi zijazo kwenye mashindano tuliyopo

GGMU
 
Kwa hiyo arsenal ni sawa na cadif had useme mechi ilikuwa muhimu wao hawastahili kushinda?

Kuna muda tuwe tunakubali hata arsenal alikuwa bora

Mourinho katolewa si kwamba solskjaer aipeleke united top 4 alitimuliwa kufuatana na mwenendo mbovu wa matokeo plan ya timu ni kujipanga mwakan ndio maana alipewa kaz ya muda kufuatana na mwenendo wa matokeo aliyopata tumeona hata top 4 inawezekana hamna alietarajia kusema tumemtoa jose ili OGS afanikishe mpango wa jose unakosea binafsi nampongeza sana OGS

Kapita ktk mechi nyingi ngumu sana huwez kushinda wala kutoka suluhu ktk mech zote lazima kuna watakao kudaka

Pep na ubora wake alinaswa na chelsea kala chuma mbili bila

Sent from my iPhone using Tapatalk
Huwa siwaelewi watu wanavyoanza kutoa lawama kwamba kocha hafai.

Naomba wawe wanatoa mbadala, kocha gani anafaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nimekula ban leo napitia review za gemu ya jana kwenye jukwaa letu na mimi nina haya ya kusema;

√Kwa upande wangu mchezaji aliyecheza vizuri kuliko wote jana ni Fred,,Yes ni Fred..alikuwa akipata mpira anawaza kwenda mbele,hachezi back pass..alifanya makosa machache ambayo hata wachezaji wengine wanayafanya..kuna watu walitaka McTominay acheze,je Tominay angekuoffer kitu gani cha kitofauti ambacho kingefanya tushinde gemu ya jana..Fred is good on team going foward...7/10 for Fred

√ Kuna watu tusiposhinda tunakuwa tunawapa lawama ambazo hata hawazistahili..Sasa kwa nini hamsemi kuwa jana Rashford alikuwa selfish,non -Clinical??..kwa nini hamsemi Pogba alikuwa hajatulia jana??

√All in all hatuwezi kushinda mechi zote kuna ambazo lazima tuzipoteze,let looking foward kwenye mechi zijazo kwenye mashindano tuliyopo

GGMU
Tumesema kuhusu Rashford na tumesema pia kuhusu Fred.

Kikubwa nachoona, madogo wapewe nafasi ili kuua over confidence ya hawa kina Pobga na Rashford.

Tufanye rotation, kikosi tunacho kipana tukiwapa nafasi madogo.

Fred anarudi vizuri, jana kacheza poa sana!!
 
To those who are saying Ole out, needs to stop supporting us. This is literally our 1st loss under Ole. Calm down. We did not take our chances. Fred was good, if any one disagree, definitely didn watch the match or you're clueless. The 2nd goal was never a penalty, a slight tap and Lacazette went down.. On another day, we would've easily taken the 3 points. Top 4 is not even over yet, we're 2 points off 4th and 3 points off 3rd.. There's still time.

Believe, or you can leave and go support City/Liverpool.
 
Nakumbuka mulisema kwenye gemu mlizobakiza ..Arsenal na Chelsea muna uhakika wa point sita ..

Si ndo hivo mulisema? Muwe munaeka akiba ya maneno...

Overconfidence imewaumbua/itawaumbua..

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila kwa upande wangu mimi chelsea nna uhakika nae alijitahidi sare ila hawez kushinda nyumbani arsenal sikutajia kumfunga mara tatu kwake mfululizo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nilikuwa nimekula ban leo napitia review za gemu ya jana kwenye jukwaa letu na mimi nina haya ya kusema;

√Kwa upande wangu mchezaji aliyecheza vizuri kuliko wote jana ni Fred,,Yes ni Fred..alikuwa akipata mpira anawaza kwenda mbele,hachezi back pass..alifanya makosa machache ambayo hata wachezaji wengine wanayafanya..kuna watu walitaka McTominay acheze,je Tominay angekuoffer kitu gani cha kitofauti ambacho kingefanya tushinde gemu ya jana..Fred is good on team going foward...7/10 for Fred

√ Kuna watu tusiposhinda tunakuwa tunawapa lawama ambazo hata hawazistahili..Sasa kwa nini hamsemi kuwa jana Rashford alikuwa selfish,non -Clinical??..kwa nini hamsemi Pogba alikuwa hajatulia jana??

√All in all hatuwezi kushinda mechi zote kuna ambazo lazima tuzipoteze,let looking foward kwenye mechi zijazo kwenye mashindano tuliyopo

GGMU
Pole kwa ban

Hongera kwa kusema ukweli

Dogo Rash akiacha ubinafsi ni mchezaji mzuri sana

Lukaku alitakiwa kuwa clinical zaidi, lakini na kipa wa Arsenal ali play part kuzuia magoli. Ukiacha kosa kosa zake overall game yake amecheza vizuri, hasa kwenye build up

Tunarudi pale pale hata mchezaji awe mzuri vipi kuna siku (lakini ziwe chache) anakuwa out of form na hata timu iwe bora vipi kuna siku inacheza chini ya kiwango na kama mashabiki wa mpira wa kweli tunapaswa kulielewa hili

Fred was up there, kuchafua mipango ya adui na kucheza forward passes. Aliposhika mpira alionekana kama kuina kitu anataka kufanya

Matic was slow. Inaonekana kama vile bado hakuwa fit 100% kwa kuwa alitoka majeruhi

Greenwood angeingia mapema angeweza kufanya jambo

But still I'm proud of the boys, all of them. They fought to the end.

Still in top 4 race, UCL quarter finalist and FA quarter finalist

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom