Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mara nyingi tukicheza bahati imekuwa upande wetu lakini leo imegoma na kuhamia kwa Asernal..

Tumecheza vizuri tu lakini matokeo hayajatufever. Lukaku sijui anahitaji nafasi ngapi ili atumbukize kambani... hili nadhani hata yeye linamnyanyasa sana kuona ni kiasi gani anakosa nafasi za wazi na kuigharimu timu. Fred ameendelea kuimprove siku hadi siku... leo amecheza vizuri sana ile penalty ni tension tu ya mchezo hii ni baada ya kuona kazidiwa na jamaa anafunga hivihivi akatumia maujanja ya kumsukuma lac kwa bega bahati mbaya kwake refa alikuwa Karibu sana akilishuhudia tukio hilo umbali wa sentimita kadhaa... but kwa hakika amecheza vizuri sana, wakati ambao Matic alipwaya Fred alikuwapo kusaidia..

Sijui ni kwanini Ogs ameamua kumuanzisha Matic akimuacha Mctimaney ... binafsi nilidhani angeanza na Mctimney, Fred na Pereira kama kawaida halafu Dalot na Matic wasubiri kwanza... kwa wale waliokuwa wakilalamika ni kwanini Dalot kaanza badala ya Martial nadhani wamegundua ni kwanini.... kocha ndie anayekaa na wachezaji anajua yupi yuko fit na yupi asubiri..

So far... tumecheza poa sana, hata asernal wenyewe wanashangaa ni aje wamepata ushindi ktk mechi hii..!! Tunaendelea kusonga mbele tukirekebisha makosa ya hapa na pale kwa mchezo wa leo..

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatushangai kupata ushindi

Mechi za kushinda zinaonekana

Leo ilikuwa afe kipa afe beki ,

Halafu pale ni emirates nina rekod nzuri mechi za home EPL ,

Ukija lazima ukubali mm ndio nitawale mchezo ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona vijana wa Arsenane wamejaa sana humu

Mungu ni wetu sote hivyo kudhani kila siku tutawafunga ni kujidanganya. Pia kudhani kwamba OGS asingefungwa hata mechi moja ni kutojua soka.

By the way, United ataendelea kuwa United.

Tumefungwa. Imeuma. Maisha yanaendelea. Imagine wewe kwenye mechi 18 umefungwa mechi 2, kuna wenzako wametunguliwa mechi za kutosha tu.

In fact, siku ya jumatano asubuhi ningeambiwa nichague kuingia robo fainali ya UCL na kufungwa na Arsenane ningechagua hili la pili.

Kiufupi hatukucheza vibaya, japo makosa madogo madogo yametufanya tupoteze mechi.

Hatukutumia nafasi tulizopata kwa ufasaha lakini pia tumefungwa goli ambazo kwa mtazamo wangu zingeweza kuzuilika. HAMNA HAJA YA KUNYOOSHEANA VIDOLE, HUWEZI KUSHINDA MECHI ZOTE.

Arsenane hongera yao kwa kupunguza uteja, leo wamesogeza, walikuwa wametufunga mara 82, leo wamefikisha mara ya 83. United amebaki kuwa amewafunga karne kasoro 1 yani mara 99

United yupo kwenye mbio za top 4, yupo robo fainali ya FA, yupo robo fainali ya UCL, kwanini wewe shabiki wa United ukose usingizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Usingizi nakosa asee, yaani nafungwa na aseno. Kwangu mimi aseno ji kagenge flan tu hivi kuifunga United ni kukoseana heshima. At least ningefungwa na wolves au burnely.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya leo ilikuwa muhimu sana kwa mbio za Top 4 kwa Manchester.Ila kila mshabiki wa Man anajilisha upepo kuwa hajaumia.Hakuna sababu ya maana kama Ole atashindwa kuingia top 4 mkaenda Europa.Sijui sababu ya kumfukuza Mourinho itakua ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana mech na man city mwenye njaa ya ubingwa

Ana mech na Chelsea

Top 4 itakuwa ni sawa na ngamia kupenya tundu LA sindano

Kwa UCL wawe wakweli tu PSG wamemtoa kwa msaada wa VAR na ujinga wao PSG,

Mpira toka unaanza man u yupo nyuma,

Anavizia counter, PSG wakarelax wakijua mech imeisha , counter zikazaa mabao mawili, na MOJA LA VAR

Lakin kimpira man u anakaa nyuma ,hata Leo dk 20 za mwanzo kakaa nyuma mpaka tulipomfunga ndio kajipapatua kuja mbele

Kwahali hii UCL utakutana na wahuni wanakubemenda mapema

Unaelekea futuhi msimu ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee DALOT mbovu sana, nadhani wale walinitukana leo wameona. Yuko very slow. Winga ya kulia ni kama haikuwepo. Hakuna kijana wa academy huko namba 7 aje akamate hapa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtamsema sana huyu kijana na lukaku ambaye ndie mtwishwa msalaba pale united inapofanya vibaya, lkn kiuhalisia rashford ndo alikuwa mzigo hasa pale mbele, na Ole anavomhusudu anaachwa afanye atakalo ila alikuwa ni mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mbaya ndio matokeo ya mpira ila binafsi sijalidhika na kiwango Cha Pogba na matic, kwa leo..Fred mchezaji mzuri apewe nafasi ili aweze kijiamini zaidi...GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba ni mchezaji mzuri sana sema laana tu ya kumponda Bosi wake aliyemleta pale OT(Jose Mourinho) ndiyo inamtafuna ss hv

"Karma is a bitch"

"Time is wealthy when it's timed consecutively"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angecheza ndio ingekuwaje?

Unapotembelea emirates lazima pale kati use mpole

Kwasasa kuna viwanja vitatu vya kuogopwa unapotembelea kwa mujibu wa takwimu za EPL

1. ETIHAD
2.EMIRATES
3.ANFIELD

Sent using Jamii Forums mobile app
msishindege basi mara moja....fuluh kutuchosha vile mmeshinda game zote
 
Ana mech na man city mwenye njaa ya ubingwa

Ana mech na Chelsea

Top 4 itakuwa ni sawa na ngamia kupenya tundu LA sindano

Kwa UCL wawe wakweli tu PSG wamemtoa kwa msaada wa VAR na ujinga wao PSG,

Mpira toka unaanza man u yupo nyuma,

Anavizia counter, PSG wakarelax wakijua mech imeisha , counter zikazaa mabao mawili, na MOJA LA VAR

Lakin kimpira man u anakaa nyuma ,hata Leo dk 20 za mwanzo kakaa nyuma mpaka tulipomfunga ndio kajipapatua kuja mbele

Kwahali hii UCL utakutana na wahuni wanakubemenda mapema

Unaelekea futuhi msimu ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kwahiyo wewe hapo ulipo una uhakika kabisa utaenda uefa msimu ujao kwa kuwa tu umeifunga UNITED?
 
Aisee kwahiyo wewe hapo ulipo una uhakika kabisa utaenda uefa msimu ujao kwa kuwa tu umeifunga UNITED?
Tunacheza na ratiba mzee baba

Mm sina big mechi tena mpaka next season

Wakat wewe unakutana na mnywa damu man city,

Unakuja kukutana na Chelsea ,

Wakati Chelsea ana Liverpool pia

Na tot ana mancity na Liverpool

Nadhan utakuwa umeelewa namaanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona vijana wa Arsenane wamejaa sana humu

Mungu ni wetu sote hivyo kudhani kila siku tutawafunga ni kujidanganya. Pia kudhani kwamba OGS asingefungwa hata mechi moja ni kutojua soka.

By the way, United ataendelea kuwa United.

Tumefungwa. Imeuma. Maisha yanaendelea. Imagine wewe kwenye mechi 18 umefungwa mechi 2, kuna wenzako wametunguliwa mechi za kutosha tu.

In fact, siku ya jumatano asubuhi ningeambiwa nichague kuingia robo fainali ya UCL na kufungwa na Arsenane ningechagua hili la pili.

Kiufupi hatukucheza vibaya, japo makosa madogo madogo yametufanya tupoteze mechi.

Hatukutumia nafasi tulizopata kwa ufasaha lakini pia tumefungwa goli ambazo kwa mtazamo wangu zingeweza kuzuilika. HAMNA HAJA YA KUNYOOSHEANA VIDOLE, HUWEZI KUSHINDA MECHI ZOTE.

Arsenane hongera yao kwa kupunguza uteja, leo wamesogeza, walikuwa wametufunga mara 82, leo wamefikisha mara ya 83. United amebaki kuwa amewafunga karne kasoro 1 yani mara 99

United yupo kwenye mbio za top 4, yupo robo fainali ya FA, yupo robo fainali ya UCL, kwanini wewe shabiki wa United ukose usingizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unalialia! Kwan umejipangaje?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Konki
255658231580_status_be75f5291a0e4fd48bbd372d68e78d0f.jpeg
 
Back
Top Bottom