Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunacheza na ratiba mzee baba

Mm sina big mechi tena mpaka next season

Wakat wewe unakutana na mnywa damu man city,

Unakuja kukutana na Chelsea ,

Wakati Chelsea ana Liverpool pia

Na tot ana mancity na Liverpool

Nadhan utakuwa umeelewa namaanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mzee baba tukutane Mei.
 
Mkuu unapotembelea emirates hujawahi kucheza vzr pale kati hata kama utapata matokeo

Kubali Leo zile counter attack zenu hazijafanya kazi

Unadhan angekuwepo huyo Herrera , ungetawala kiungo?

Hata ile mech ya FA bado kiungo ulipotea ,bila ukawin kwenye counter

Kitu ambacho Leo tumekiziluia kwa asilimia kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna zile mbili waliotea Dakika za mwanzo waligonga mwamba Mara mbili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo leo we umeona timu yako imepiga mpira mwingi sio?Goli moja mmepewa la bure jingine kipa kazingua tu sijaona cha maana sana mlichofanya dakika 90.
Mkuu na mimi nawashangaa ila itakuwa ni kwa vile hawakutarajia kuifunga United.GGMU
 
Mkuu na mimi nawashangaa ila itakuwa ni kwa vile hawakutarajia kuifunga United.GGMU

Ndo maana kila siku mi nawadharau Arsenali yaani wamefurahi utafikiri wameshinda kombe vile,PL bado inaendelea na hata bdo hajajihakikishia top 4,timu yoyote PL inakufunga tu sio lazima eti iwe timu kubwa,leo tumefungwa ndio ila sio kwamba walituzidi chochote.. at least si bdo tunachance ya kushinda kombe msimu huu wao hata hyo futuhi yao wanakaribia kutoka kwa ufupi hawana cha maana cha kujitambia..
 
Mkuu unapotembelea emirates hujawahi kucheza vzr pale kati hata kama utapata matokeo

Kubali Leo zile counter attack zenu hazijafanya kazi

Unadhan angekuwepo huyo Herrera , ungetawala kiungo?

Hata ile mech ya FA bado kiungo ulipotea ,bila ukawin kwenye counter

Kitu ambacho Leo tumekiziluia kwa asilimia kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hongereni sana mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Umeumia ila umejikaza tu.

Hapana nipo safi kinoma hii kufuatana mwenendo wa timu yangu kocha mwenyewe ana miez mitatu tu kazi aliyofanya kama kocha wa kudumu ni ngumu sana sasa leo naumia vipi kwa timu aliyoitwanga na kuifukuza kwenye mashindano ya mtoano?

Ni mjinga pekee ataumia sisi tunapigania top 4 toka alipo arsenal na sisi point ngap zimebak? Na arsena alituacha point ngapi?

Ndo mana nipo safi ligi ni mbio ndefu sio sawa na mtoano tungetolewa kwenye mashindano hapo lazima roho iume

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yaan nyie watu kabla ya mech mmewaaminisha watu mnashinda

Sasa hivi mmegeuka maneno yenu

Mmekuwa kama kina lowassa

Sent using Jamii Forums mobile app

Tafuta post yangu niliyokwambia arsenal anafungwa

Manchester united ktk historia hajawahi kushinda mara mbili mfululizo ndani ya mwaka wakicheza na arsenal huwa anashinda mwaka ukipundika kama vile mwaka wa mourinho na solskjaer alivyofanya sio kurudia tena

Ila mwakan unatwangwa tena

Tusingeshinda mechi ya Fa ulikuwa unakufa kwa namna yoyote ile hata tucheze na madogo katikati

Leo historia ilikuwa upande wa arsenal nakwambia ukweli

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
1.Matic hakustahili kuanza sijaona umuhimu wake kwenye ndani ya uwanja yaani kama ndani wanacheza wachezaji kumi sijui kwa nini kocha alimuacha Scott
2.Fred kajitahidi sana naona mdogo mdogo anaanza kuzoea ligi kila mechi anabadilika in postive way japo anamakosa madogo madogo
3.Dalot namba saba kapwaya sana
4.aRashford siku hizi hajiumi kabisa na ubinafsi wake unacost team
#Mapambano yanaendelea
 
Tafuta post yangu niliyokwambia arsenal anafungwa

Manchester united ktk historia hajawahi kushinda mara mbili mfululizo ndani ya mwaka wakicheza na arsenal huwa anashinda mwaka ukipundika kama vile mwaka wa mourinho na solskjaer alivyofanya sio kurudia tena

Ila mwakan unatwangwa tena

Tusingeshinda mechi ya Fa ulikuwa unakufa kwa namna yoyote ile hata tucheze na madogo katikati

Leo historia ilikuwa upande wa arsenal nakwambia ukweli

Sent from my iPhone using Tapatalk
Upo sahihi,

Mimi nimejumuisha wana man u wengi waliovamia Uzi wetu toka Jana wakitusumbua kuwa lazima mshinde

Ila Leo sikuwa na wasiwasi kabisa nilijua lazima tufie uwanjani

Miaka yote huwa hivi, hata muhindi Aliwaua leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo leo we umeona timu yako imepiga mpira mwingi sio?Goli moja mmepewa la bure jingine kipa kazingua tu sijaona cha maana sana mlichofanya dakika 90.
Maneno ya mkosaji haya

Wewe ulitaka ufungwe goli la namna gani?

Kama hujaona cha maana bas tambua sis tumeweka kinindon point 3 na magoli mawili
IMG-20190310-WA0029.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom