Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Duh hata hiyo kusukumwa unaona sio penatNyie ndio mnabebwa, penalty ya bure kabisa!
Tulia wewe, huo mpira unaangalia peke yako? Penalty ya uongo ile, unaweza kuniambia Man U amebebwa wap?Duh hata hiyo kusukumwa unaona sio penat
Refa kawabeba hambebeki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabingwa tena mkuu! maombi yako nisawa na kumpiga teke chura unamwogezea mwendoPoleni sana...tunaomba muwafunge man city

Ndio leo mkuuSikumbuki Mara ya mwisho lini kupigwa clean sheet na Arsenal. Inauma sana.
Atoke Fred aingie Scott McTominay pale kati kusaidia kuwazuia Asernal wasipande sana...
Eti ya uongoTulia wewe, huo mpira unaangalia peke yako? Penalty ya uongo ile, unaweza kuniambia Man U amebebwa wap?
Arsenal wameanza michezo ya kujiangusha na kuchelewesha mpira kama waarabu ati!
Kumbe ulitaka kubishana tu, ila mpira hujui.