Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Huyo Bwana mwenye mpira ndiye alileta kizaazaa mwaka 1999 ...na ndiye huyo jana kaleta balaa na vijana wake.Kwa waliozaliwa juu ya hapo itawachukua muda kidogo kumfahamu.Kipindi hiyo hakuna Sportpesa...wala mbet walaa mkeka bet.Ni kipindi unashangalia mpaka unakula makofi.Wajerumani enzi hizo walikuwa majitu haswaaa.Huyo Bwana alikuwa na kasura kake hakafanani na matendo yake kabisa Uwanjani.
 
Kwani jana walikuwepo Experience players wangapi?. Mimi n ilishabet MAN U mtatolewa kwa sababu wachezaji experience 10 akiwemo Antonio Valencia, Matteo Darmian, Phil Jones, Ander Herrera, Nemanja Matic, Jesse Lingard, Alexis Sanchez, Juan Mata, Anthony Martial, Paul Pogba hawakuwepo kwenye list ya timu iliyokwenda Paris. Na hii ndio sababu nafikiri iliyowahadaa PSG wakawa underrate. Wachezaji wengi waliokuwemo kwenye msafara ni wale wa academy, sijui hasa list yao ila walikuwa wengi
Kwa ufupi tuseme tu ni bahati, ngekewa posession ya 30%, kupendelewa na refa kwa penalty isiyostahili, ila all in all hongereni kwa kuingia robo fainali
 
Huwa kuna kocha wa ligi na kocha wa UEFA, pia kuna wachezaji wa ligi na wachezaji wa UEFA kwa hiyo wakitaka UEFA wamtafute zizou na CR7, Hao watawafaa sana
 
Relax kigezo cha kupendelewa ni dhaifu mno ila naelewa unajaribu kudefend your ego.
Kilichofanyika jana ni kitendo hadimu sana kama vile kutua kwa kemondo Tanzania.Kwasasa tunasubiri ushindi mnono next sunday maana wageni waalikwa wameshafika eneo la tukio hahahahaaaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…