IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,735
- 7,080
Nyie nyumbu mmejipangaje na kipigo cha leo kamati ya Roho mbaya ndo tunaweka kambi hapa
Ni jambo zuri kujipa matumaini ila PSG sio timu rahisi kuifunga hasa anapokua home.
unajua De Gea alinunuliwa kwa pesa ngapi? Martial je? vipi kuhusu Ronaldo??Acha ubishi wewe angalia bei ya de gea tuliyomchukulia kutoka atletico,angalia bei ya Martial hao wote walibreak record za dunia sababu ni uwezo wao.valencia alkua na kiwango bora kabisa cha kumreplace cr7
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani Kama anajuaunajua De Gea alinunuliwa kwa pesa ngapi? Martial je? vipi kuhusu Ronaldo??
Kama[/QUOTE]Kama unatumia pc ingia cricifree. Com humo kuna channel kibaoTE="capitalpool, post: 30650465, member: 454811"]Tafadhali naomba any free channel / link ku check game ONLINE!!
kuna mtu hapo juu kasema "kama uelewa wako kwenye soka ni wa kuungaunga huwezi kuelewa kikosi cha leo"Kusema ukweli pogba ametucost sana kwa ile red card ya kiboya..Nimeangalia line up yetu naona kocha ameanzisha mabeki watano.i wish km pogba angekuwepo ingekuwa rahisi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana nasubiri game kwa hamu zoote!!Poa poa mkuu burudika, hauna haja ya kuclick popote pale zaidi ya kuplay tu hapo ulipo andikiwa the video will be available before kick off
Martial
Ronaldo
Nani
De Gea
Valencia
Shaw
kwa kusindikiza comment yako

Jibu mubashara