Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,002
- 60,081
Tunaamini tutafanya maajabu walofanya Ajax. Ila Ajax wanaupiga jamani.WADAU wa MAN U.
Mmebakisha masaa mangapi kufungasha VIRAGO vyenu?
Tunaamini tutafanya maajabu walofanya Ajax. Ila Ajax wanaupiga jamani.WADAU wa MAN U.
Mmebakisha masaa mangapi kufungasha VIRAGO vyenu?
Safi sana.Tunaamini tutafanya maajabu walofanya Ajax. Ila Ajax wanaupiga jamani.
Safi sana.
Tukiweka ushabiki pembeni.
Nawatakieni kila la kheri.
MPIRA unadunda, chochote kinawezekana.
Mwamuzi Dakika TISINI
Kiongozi usikate tamaa.Mpira ungedunda kama sio hawa majaruhi tulionao na kadi ya Pogba.
Hahahahahaha mkuu umenichekesha sana kuhusu uwezekano wa Herera na Matic kuwepo kwenye game ya PSGWakuu habarini.... wakati Leo tunaangalia Real Madrid anavyopambana na Ajax naimani tutakuwa na mawazo juu ya mechi yetu ya kesho....
Nimeangalia traveling squad plus kuwaona kina Sir Alex na David Gill wakiwa na tabasamu kuna vitu Binafsi vinafanya niwe positive juu ya Mechi ya kesho....
Kwanza Inawezekana kesho Matic na Herrera wakaanza pasipo kutarajiwa na naamini hichi tulichokifanya leo kusafiri na hawa watoto ni kuwatoa tu PSG mchezoni kuelekea kesho, wasipange ujinga wa Man marking Kama kawaida yao... So kwa upande wangu kesho Matic na Herrera wataanza na Tomminay katika kiungo.....
Upande wa pili hawa hawa madogo tuliobeba, wanaweza wakaweka historia na wakajihakikishia namba ndani ya timu ya wakubwa endapo wataanza kesho...kwanza tuliowachukua wote Garmer, Gomes,Chong na Greenwood na captain wa under 18 Williams ni wachezaji wenye mentality ya kiuaji sana na wanaweza shangaza dunia kesho....
Hawa watoto wanne wanaweza kutupa kitu kizuri kwanza aina yao ya uchezaji bado haijajulikana specifically na PSG, maana hawajacheza game nyingi kiasi cha kusema PSG wawafatilie, Pia hawa watoto wanajua maisha yao ya professional na fame yanaanzia game ya kesho endapo watafanya vizuri....so naimani wanaweza kujituma zaidi na kutupa kitu cha tofauti....
All in all naimani kesho tunaanza na strikers wawili kama game zetu 2 zilizopita.....
My orediction...
De Gea
,bailly, Linderlof, smalling, shaw
Herrera Matic. Tomminay
Young Rashford. Lukaku
#GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nakubaliana naww sanchez timu imemshinda kbs na haya majeraha ya mara kwa mara ndio yanamaliza kbs
Tukatafute mtu nadhani tukimpata gareth bale atatusaidia na hivi madrid wanavyomzingua ndio wakati wa kumfuata
Kesho naiona 4-4-2 formation..
Sanchez na Lukaku mbele.
Namuona Fred,Pereira,Scot mctominay na Pogba kwny midfield..
Nyuma hapanipi wasiwasi cuz wote ni wazima.
Pia naona changes ya formation Ktk kipindi ambapo tahiti na gomes wanaweza kuingia kucheza kwny wings..
GGMU GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
MartialView attachment 1038014
Oleksandr Zinchenko
Unaifaham kazi ya huyo dogo pale city? Unaujua umr wake
Kwa kukusaidia manchester united imekuwa na rekod mbovu ya kununua mastaa wakaja kufanya poa tofauti na madogo inaonunua kisha kuwakuza na kuwa nguzo ya timu
Leo hii kabla jimbi hajawika mashetani wekundu watakuwa wameaga mashindano.Hahahahahaha mkuu umenichekesha sana kuhusu uwezekano wa Herera na Matic kuwepo kwenye game ya PSG
Kiufupi hiyo haitawezekana, japo inasemekana Matic na Martial wapo karibu na game ya Arsenal wanaweza kucheza
Ndugu yangu Wazungu ni watu ambao ni honest sana (kwenye mambo ambayo yapo wazi) na ku cheat kwao ni kashfa kubwa sana. Kwa hiyo kudanganya kwamba hao jamaa hawatakuwepo halafu ghafla kwenye mechi wakawepo haitawezekana
Ila kuna positivity kuhusiana na kikosi chetu kama ulivyosema. Kwanza madogo hao ni watu wasiojulikana kwa PSG hivyo kudeal nao inaweza kuwa changamoto kwao.
Pili madogo watataka waoneshe uwezo wao kwa ajili ya future yao na tatu PSG wanaweza waka relax wakiona hawa madogo hawataweza kuwafanya kitu, na hadithi ya yule aliyedharau mwiba na mguu ukaoza ikadhihirika.
Kubwa zaidi ni matokeo ya jana ya Madrid na Ajax yamethibitisha anything can happen katika soka, iwe nyumbani au ugenini
Jambo lingine United wanaenda kucheza wakiwa hawana pressure kwani watu wanaamini kuwa tumeshatolewa. Hii inaweza kusaidia kucheza mpira kwani pressure kwa wachezaji huwa sio nzuri
Kiufupi game ni ngumu na United bado anaenda kama underdog lakini mpira siku zote umekuwa mchezo usioboa sababu ya interesting results
Let's wait and see mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kutuaminisha hao tuliwanunua wakiwa wameshakuwa mastaa au sisi ndo tuliwafanya wawe mastaa???Martial
Ronaldo
Nani
De Gea
Valencia
Shaw
kwa kusindikiza comment yako
kasome tenaUnataka kutuaminisha hao tuliwanunua wakiwa wameshakuwa mastaa au sisi ndo tuliwafanya wawe mastaa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo list ya jamaa inaonesha hivyo ni kweli hao walikua mastaa tayari na walivyokuja kwetu wakaendeleza ustaa waoUnataka kutuaminisha hao tuliwanunua wakiwa wameshakuwa mastaa au sisi ndo tuliwafanya wawe mastaa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Emirates ni sawa na mke wa jirani ambaye tunamla kwenye kitanda cha mmewe, na mmewe akitukuta tunamkula anatuomba radhi kwa kutufumaNdugu zangu natanguliza pole kwenye msiba unaotarajiwa kutokea leo na hapo jumapili (marehemu atakufa mara mbili)
Leo hii kabla jimbi hajawika mashetani wekundu watakuwa wameaga mashindano.
Sent using Jamii Forums mobile app




Hahahaha nai screen shot hii post yakoEmirates ni sawa na mke wa jirani ambaye tunamla kwenye kitanda cha mmewe, na mmewe akitukuta tunamkula anatuomba radhi kwa kutufuma![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app