Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya lile goli la dakika za jioni ambalo lilitupa ushindi wa Uefa Champions League mwaka 1999 dhidi ya Bayern Munich na Ole Gunnar Solskjaer kukaa kwenye mioyo ya Mashabiki kama kipenzi chao.

Mechi dhidi ya PSG tena ugenini, majeruhi 9, tukiwa nyuma 2-0 baada ya kufungwa mechi ya kwanza, OGS anafanya kitu ambacho hakikutarajiwa na wengi, United anapata ushindi wa aina yake, mechi hii inamfanya OGS aendelee kutukuzwa kwa miaka mingi ijayo. Ed Woodward popote ulipo mpe kijana huyu mkataba mapema iwezekanavyo.

He is one of us. GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…