Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_0362.JPG

Solskjaer
 
kipa kuokoa (kwa maana yako) hiyo sio kukosa nafasi ya kufunga?? then tunaiitaje sasa
Mkuu kuna brilliant saves ambazo inabidi umpe sifa mtu aliyeokoa badala ya kumlaumu mchezaji aliyekosa

Hivi mfano ile mechi dhidi ya Arsenal ambapo Degea aliokoa michomo kama 13 utawalaumu wachezaji wa Arsenal ambao hawakufunga magoli au utaongelea saves alizookoa Degea?

Au mechi ya Spurs na United ya juzi juzi utawalaumu akina Dele na Kane kwamba walikosa magoli au utampongeza Degea?

Logic yangu ni kwamba unaposema flani amekosa magoli, huwa ni pale ambapo mfungaji anakuwa hajatimiza wajibu wake vizuri (amekosa nafasi za wazi au yeye amepiga mpira vibaya)

Sikatai kwamba kuna wakati Lukaku anapoteza nafasi, lakini si kwa kiwango ambacho watu wanataka watuaminishe. Na Wachezaji wote huwa wanakosa nafasi hata akina Messi, Aguero, Salah, Kane, CR7 n.k

Uzuri takwimu hazidanganyi.

Katika umri wa miaka 25, tayari Lukaku yupo top 19 of all time top scorer katika premier League. Kwa wachezaji wanaocheza sasa yupo nyuma ya Aguero (161) na Kane (123). And he is not even a penalty taker.

Katika umri wa miaka 25, ni all time top scorer wa Belgium national team akiwa na magoli 45, amemzidi hata Aguero mwenye magoli 38 na Kane

Mimi nadhani kuna kitu behind the scene ambacho kinamfanya Lukaku asipendeke, and it is psychological. His physical appearance, his colour and the likes, nikisema hivi kuna watu hawatanielewa lakini psychologist studies zinaonesha muonekano wa mtu unaweza ku affect the way we perceive some one.

Kama mtu anakuja anakwambia bora Morata kuliko Lukaku ....... Duh lazima mtu uchoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi pogba ni lazima apige penati? Anaogopeka ndani ya klabu? Si Mara ya kwanza kwenda kupiga penati na kukosa kwa kufanya ile movement yake. Ni lazima atembee ule mwendo wake Wa kishoga kabla ya ku shoot?. Kwa nini hajirekebishi na utoto wake? Ananikera sana!
Kukosa penati sio jambo la kawaida. Aubemeyang nae amekosa jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna brilliant saves ambazo inabidi umpe sifa mtu aliyeokoa badala ya kumlaumu mchezaji aliyekosa

Hivi mfano ile mechi dhidi ya Arsenal ambapo Degea aliokoa michomo kama 13 utawalaumu wachezaji wa Arsenal ambao hawakufunga magoli au utaongelea saves alizookoa Degea?

Au mechi ya Spurs na United ya juzi juzi utawalaumu akina Dele na Kane kwamba walikosa magoli au utampongeza Degea?

Logic yangu ni kwamba unaposema flani amekosa magoli, huwa ni pale ambapo mfungaji anakuwa hajatimiza wajibu wake vizuri (amekosa nafasi za wazi au yeye amepiga mpira vibaya)

Sikatai kwamba kuna wakati Lukaku anapoteza nafasi, lakini si kwa kiwango ambacho watu wanataka watuaminishe. Na Wachezaji wote huwa wanakosa nafasi hata akina Messi, Aguero, Salah, Kane, CR7 n.k

Uzuri takwimu hazidanganyi.

Katika umri wa miaka 25, tayari Lukaku yupo top 19 of all time top scorer katika premier League. Kwa wachezaji wanaocheza sasa yupo nyuma ya Aguero (161) na Kane (123). And he is not even a penalty taker.

Katika umri wa miaka 25, ni all time top scorer wa Belgium national team akiwa na magoli 45, amemzidi hata Aguero mwenye magoli 38 na Kane

Mimi nadhani kuna kitu behind the scene ambacho kinamfanya Lukaku asipendeke, and it is psychological. His physical appearance, his colour and the likes, nikisema hivi kuna watu hawatanielewa lakini psychologist studies zinaonesha muonekano wa mtu unaweza ku affect the way we perceive some one.

Kama mtu anakuja anakwambia bora Morata kuliko Lukaku ....... Duh lazima mtu uchoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano juzi kwenye game ya Liverpool pamoja na hakuwa na mbwembwe nyingi (anao anao, visigino n.k) lakini alitengeneza nafasi 2 muhimu kwa Smalling na Lingard za kufunga

Na imagine ingekuwa yeye ndio amepoteza ile nafasi ya Lingard, sijui angetukanwa vipi. Lakini kwa kuwa Lingard ni charming lovable cute face, sikusikia hata chembe ya lawama

Unakuta Lukaku kapigiwa back pass, kashindwa kuichukua utasikia anavyolaumiwa .... Ooh mzito, naomba mtu aliyewahi kucheza mpira aniambie jinsi ilivyo ngumu ku deal na back pass... Labda kama unataka kutegua nyonga, na bado mpira unaweza usiupate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna brilliant saves ambazo inabidi umpe sifa mtu aliyeokoa badala ya kumlaumu mchezaji aliyekosa

Hivi mfano ile mechi dhidi ya Arsenal ambapo Degea aliokoa michomo kama 13 utawalaumu wachezaji wa Arsenal ambao hawakufunga magoli au utaongelea saves alizookoa Degea?

Au mechi ya Spurs na United ya juzi juzi utawalaumu akina Dele na Kane kwamba walikosa magoli au utampongeza Degea?

Logic yangu ni kwamba unaposema flani amekosa magoli, huwa ni pale ambapo mfungaji anakuwa hajatimiza wajibu wake vizuri (amekosa nafasi za wazi au yeye amepiga mpira vibaya)

Sikatai kwamba kuna wakati Lukaku anapoteza nafasi, lakini si kwa kiwango ambacho watu wanataka watuaminishe. Na Wachezaji wote huwa wanakosa nafasi hata akina Messi, Aguero, Salah, Kane, CR7 n.k

Uzuri takwimu hazidanganyi.

Katika umri wa miaka 25, tayari Lukaku yupo top 19 of all time top scorer katika premier League. Kwa wachezaji wanaocheza sasa yupo nyuma ya Aguero (161) na Kane (123). And he is not even a penalty taker.

Katika umri wa miaka 25, ni all time top scorer wa Belgium national team akiwa na magoli 45, amemzidi hata Aguero mwenye magoli 38 na Kane

Mimi nadhani kuna kitu behind the scene ambacho kinamfanya Lukaku asipendeke, and it is psychological. His physical appearance, his colour and the likes, nikisema hivi kuna watu hawatanielewa lakini psychologist studies zinaonesha muonekano wa mtu unaweza ku affect the way we perceive some one.

Kama mtu anakuja anakwambia bora Morata kuliko Lukaku ....... Duh lazima mtu uchoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Man Utd ikiwa inashambulia na kuna mchezaji kama Lukaku na Martial, uwezekano wa goli ni mkubwa sana.

Mkuu kuna vitu umeongea hapa vya msingi ila kuna vitu nahisi unashindwa kuwaelewa mashabiki wa United, watu sio kwamba

wana mchukia Lukaku kwa sababu hizo ulizo taja kama Rangi,Umbo, au psychological factors,mashabiki wa mpira wanapenda

kuona ufundi uwanjani sio mchezaji anaefanya vitu kama anaforce ni sawa na kina Fellaini, watu walikuwa hawamtaki pale UTD

kwa sababu technically hayuko vizuri yaani anategemea sana physical play,Lukaku ni mfungaji mzuri wa magoli lakin game yake

ina weakness nyingi hilo swala lipo ukubali ukatae...kutokana na historia ya United tumekuwa na Mastriker first 11 ambao wako

complete kama Tevez ,Rooney,RVP,Cantona,Berbatov,Andy cole,Yorke hawa wote kiufundi wapo juu ya Lukaku so usifikiri

labda kuna agenda/Campaign ya kumchukia Lukaku bila sababu,uwezo wako ndo unafanya apendwe au usipendwe maana hata

mashabiki wa Everton sio kwamba walikuwa wanampenda Lukaku kihvyo ndio anafunga mabao lakin havutii ukimuangalia

kiufundi. Huo ndo ukweli mkuu..
 
Mkuu kuna vitu umeongea hapa vya msingi ila kuna vitu nahisi unashindwa kuwaelewa mashabiki wa United, watu sio kwamba

wana mchukia Lukaku kwa sababu hizo ulizo taja kama Rangi,Umbo, au psychological factors,mashabiki wa mpira wanapenda

kuona ufundi uwanjani sio mchezaji anaefanya vitu kama anaforce ni sawa na kina Fellaini watu walikuwa hawamtakipale UTD

kwa sababu technically hayuko vizuri yaani anategemea sana physical play,Lukaku ni mfungaji mzuri wa magoli lakin game yake

ina weakness nyingi hilo swala lipo ukubali ukatae...kutokana na historia ya United tumekuwa na Mastriker first 11 ambao wako

complete kama Tevez ,Rooney,RVP,Cantona,Berbatov,Andy cole,Yorke hawa wote kiufundi wapo juu ya Lukaku so usifikiri

labda kuna agenda/Campaign ya kumchukia Lukaku bila sababu,uwezo wako ndo unafanya apendwe au usipendwe maana hata

mashabiki wa Everton sio kwamba walikuwa wanampenda Lukaku kihvyo ndio anafunga mabao lakin havutii ukimuangalia

kiufundi. Huo ndo ukweli mkuu..
Ukiangalia kwenye baadhi ya komenti zangu pia nimeongelea kuhusu uwezo wa kawaida (sio mdogo) wa Rom kwenye ufundi. Nimetaja mambo kama sio dribbler mzuri sana, Sio mtu wa visigino, sio mtu anao anao. KIUFUPI HANA MBWEMBWE.

Juzi nilikuwa namsikiliza Berbatov akasema Lukaku anaweza kufanya vitu alivyokuwa anafanya Xavier na Iniesta (najua kuna wengine watabisha) lakini hoja Berbatov ilijikita kwenye uwezo wa Lukaku ku assist na kutoa penetration pasi kama hao wahispaniola wawili.

Kuna siku niliandika kwamba OGS alisema hata kwenye training Lukaku ndio ana score goli nyingi kuliko striker yoyote pale United

Lakini ni vyema tukubaliane kwamba wachezaji hawafanani kiuwezo (strengths/weaknesses). Je sisi kama mashabiki tunapenda zaidi nini? Magoli au mbwembwe?

Kuhusu rangi yake au physical appearance yake niñajaribu tu kupata logic ya yeye kuchukiwa. Maana ninachoona ni kama anachukiwa tu bila sababu ya msingi. Ndio maana nikaazima maarifa ya wana saikolojia.

All in all kulaumu kwenye soka ni jambo la kawaida. Pia kusifia ni jambo la kawaida. Lakini Lukaku always ni wa kulaumiwa tu, na hata akifanya vizuri sijawahi kuona akipewa credits.

Ninachojiuliza why tunaangalia negatives tu kwa bwana Lukaku. Why we are patient when Rashford, Martial, Lingard makes blunder but not Lukaku.

I can't imagine Lukaku angekuwa na fomu ya Sanchez

SAF aliwahi kusema hivi;Kama man utd ikifungwa na huipi support unaishia kulalamika/kupoint fingers hata siku ikishinda usishangilie.

Ni yale yale tunarudia tu mzee hii ishu haipo kwa Lukaku peke yake hata Fellaini alikuwa anachukiwa na hata akicheza vizuri

hakuna aliekuwa anamsifu sana,Mpira sio magoli tu mzee na hata hayo magoli je umeyafungaje? ndo maana watu kama wakina

Messi wanapendwa sana sababu ya maufundi...mfano nakupa hapo umemfananisha Lukaku na Rashford,hvi Lukaku toka

amekuja Man ameshawahi funga goli nje ya Box? hayo mabao Rashford Lingard na Martial wanafunga,au Bao la direct freekick, au hata

Ball control tu huo ni mfano tu wa vitu ambavyo bado hatujaviona kwa Lukaku pale Trafford so unatakiwa uelewe kwann wengi

hawampendi coz kwa Club kubwa kama UNITED tunapaswa kuwa na Mtu Complete kama kina Harry Kane.
 
Ni yale yale tunarudia tu mzee hii ishu haipo kwa Lukaku peke yake hata Fellaini alikuwa anachukiwa na hata akicheza vizuri

hakuna aliekuwa anamsifu sana,Mpira sio magoli tu mzee na hata hayo magoli je umeyafungaje? ndo maana watu kama wakina

Messi wanapendwa sana sababu ya maufundi...mfano nakupa hapo umemfananisha Lukaku na Rashford,hvi Lukaku toka

amekuja Man ameshawahi funga goli nje ya Box? hayo mabao rashford na Martial wanafunga,au Bao la direct freekick, au hata

Ball control tu huo ni mfano tu wa vitu ambavyo bado hatujaviona kwa Lukaku pale Trafford so unatakiwa uelewe kwann wengi

hawampendi coz kwa Club kubwa kama UNITED tunapaswa kuwa na Mtu Complete kama kina Harry Kane.
Fellaini alikuwa ni moja kati wachezaji wasiopendeka

Narudia pale pale, inawezekana ni psychological effect. Watu wengi wanamkumbuka Felli kwa kupiga vipepsi na kadhalika

Lakini wanasahau mara kadhaa alizoisaidia United, tena wakati mgumu

Unadhani kwanini kila National Team Felli anaitwa na hajaanza Martinez, tangu yule kocha aliyeondoka

Mimi ukiniambia nichague kati mbwembwe na magoli nitachagua magoli. After all mbwembwe tunazipata kwa wachezaji wengine, sio lazima namba 1 mpaka 11 wote wawe na mbwembwe uwanjani.

Hivi suala ni kufunga goli maeneo gani au suala ni kufunga goli? Na Lukaku hafungi nje ya 18 yard sio kwa sababu hawezi, ila ni kwa sababu ya hulka yake ya kutokuwa mchoyo mfano angeweza kujaribu kwenye mechi ya FA dhidi ya Arsenal lakini akampa pasi Sanchez (na tulimsifu), angeweza kujaribu shuti dhidi Liverpool lakini akamoa pasi Lingard.

Rashford ni mchoyo, Martial ni mchoyo na wote wamekuwa wakipata magoli nje ya 18, na wakati wanapiga mashuti wakidhani ni mshale kwamba mpira utapenya.

Umewahi kujiuliza ni mara ngapi huo uchoyo wa madogo umeinyima magoli United? Maana wamekosa mengi sana ukilinganisha na waliyopata.

Kuna magoli ya wazi hao madogo huwa wanakosa wakibaki na makipa. Au sababu ya kung'ang'ania mpira wanachelewesha move ya mpira na kutukosesha nafasi.

Harry Kane ni complete kiasi hicho? Is he that good in dribbling? Ukiondoa magoli yake ya penati pengine amezidiwa na Lukaku

Mwisho, CR7 is CR7. Messi is Messi. We can't have many Messi's or Ronaldo's in this world. Tungekuwa nao wengi, wasingekuwa special.

Ambacho nimejifunza kwako mzee ni kwamba tu unampenda Lukaku hvyo unashindwa kuona hata yale mapungufu yake..nway

mi nilikuwa nakueleza tu mtizamo wa mashabiki wengi wasiomkubali Lukaku kihivyo na sio kwamba wanaona ni mchezaji mbaya

sema wanaona sio Level ya UNITED,kingine nilichojifunza hapa ni kwamba mashabiki pia tuna tofautiana, wengine kama ww

nahisi wanapenda tu matokeo na sio lazma Burudani,(tofauti ya goli la nje ya box na goli la kawaida ndani ya box ni burudani mkuu)

mimi kwa upande wangu napenda matokeo na burudani vyote na naona kuna mastriker bora zaidi ya Lukaku kiufundi na wenye uwezo wa kupiga bao nyingi vile vile..i rest my case!
 
Mimi pia mkuu napenda burudani, lakini ninachotambua katika timu huwezi ukawa na wachezaji wote 11 watoa burudani

Barcelona pamoja na mchezo wao wa burudani, wana Bosquet Sergio, city wana fernandinho, walikuwa na Dzeko, hata Aguero mwenyewe hana vitu adimu kiivyo.

Man Utd waliokuwa na akina Fletcher, Beckham, Roy Keane, Chicharito (burudani ndogo lakini wanapiga shughuli)

Kumpenda Lukaku bila sababu hai make sense, nampenda/namkubali sababu ya mchango wake uwanjani

Kwanza kiukweli ma forward wengi duniani (namba 9) huwa hawana urembo mwingi uwanjani. Shughuli yao ni kufunga magoli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom