Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Acha uchawi wewe jamaa,,mwambie huyo mourihno wako Azam fc hawana kocha asogelee hili dili...
Ndo umehama Arsenal milele?
Huna dalili ya kurudi hata siku moja.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa. Niliamini kabisa.Hivi kweli uliamini niliwahi kuwa Arsenal!.Sijawahi Mkuu wangu nilikuwa nawananga kwa style ileee![]()
Nimekuelewa mkuu, labda nikuulize, unaamini lukaku ni namba 9 wa kumtegemea atushindie makombe kama EPL? Kama ilivyokuwa RVP?
Mpumbavu sana ...yan lukaku angetia kambani hio mashine na angepiga mashine ya hatariHivi pogba ni lazima apige penati? Anaogopeka ndani ya klabu? Si Mara ya kwanza kwenda kupiga penati na kukosa kwa kufanya ile movement yake. Ni lazima atembee ule mwendo wake Wa kishoga kabla ya ku shoot?. Kwa nini hajirekebishi na utoto wake? Ananikera sana!
second half tuna possession ya ya 70% huko, first half 60+..na kati kati gani waliyo tukalia?? au ulishan Soton ndio walikua na jezi nyekundu?So'to wamecheza vizuri sana hii game, wametukalia kooni pale kati kati tumepotea kabisa, ila kazi nzuri sana aliyofanya Lukaku imetupeleka nafasi ya nne.
Katika wote ananifurahisha sana Luke Shaw yaani natamani hata ningeingia ndani ya tv nimbusu, asante sana Ole umeturudishia heshima.√Lindelof kawa kitasa jamani,hafanyi makosa mengi uwanjani
√Luke Shaw yupo kwenye kiwango bora kabisa kuwahi kupatwa kushuhudiwa
√Andreas leo amecheza kwa rythm fulani nzuri,,
√Nimefurahi kuona Fred anatoa assist,,hopefully atapata confidence na kudeliver..£50m is not a Joke
√Sipendi kumwongelea sana Jose' lakini najaribu tu kufikiria kama ndo angekuwa bado ni kocha wetu na tukawa tunapitia kipindi kama hichi,hizo excuse ambazo angetoa sizipatii picha..Sasa angalia Ole anavyodeal na mambo pale OT,its like no one missed at some points
√Big up Pogba..ile penalt runway ilikuwa ya aina yake..but ungemwachia bolingoli atie kambani hatrick,na kama angekosa isingekuwa big deal
Uzi huu haujawahi kusuasua mkuu....hata timu ilipofanya vibaya humu kulinoga zaidi watu walikuwa wanamwaga tactics hadi mikataba ya makocha..... Vipi majukwaa yenu?manure mkiwa kwenye right track uzi wenu unakimbia zaidi ya light speed
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo sio siku nzuri ya Penalty, Asernal wamekosa pia plus hapa bongoPenalty za uwongo uwongo Penalty za wiizi wizi huu haziingia msimlaumu
unakumbuka game ya Burnley?? ile ya 2-2Hivi pogba ni lazima apige penati? Anaogopeka ndani ya klabu? Si Mara ya kwanza kwenda kupiga penati na kukosa kwa kufanya ile movement yake. Ni lazima atembee ule mwendo wake Wa kishoga kabla ya ku shoot?. Kwa nini hajirekebishi na utoto wake? Ananikera sana!
Ile game bila Lingard kukiuka masharti ya Van Gaal tulikuwa tunakufa.Hii mechi ilikuwa marudio ya ile fainali ya carling cup...yule gabiadini alitutesa
na ile ya Salah against Brighton unaizungumziaje??VAR njoo tu huku kubebana kumepitiliza sasa
Ile ngumu sana kubadilika. Waangalie Neymar lazima asite kidogo au Jorginho lazima aruke kidogo. Siku ile nilijua lazima akose kwakuwa niliamini watakuwa wamemsoma vizuri.Hivi pogba ni lazima apige penati? Anaogopeka ndani ya klabu? Si Mara ya kwanza kwenda kupiga penati na kukosa kwa kufanya ile movement yake. Ni lazima atembee ule mwendo wake Wa kishoga kabla ya ku shoot?. Kwa nini hajirekebishi na utoto wake? Ananikera sana!
Ile game bila Lingard kukiuka masharti ya Van Gaal tulikuwa tunakufa.
Sent using Jamii Forums mobile app