Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ushindi muhimu uliopatikana kwa ugumu sana. Lukaku unaweza kumchukia lakini akipata mpira sehemu nzuri utampenda. Asante kwa weekend nzuri.
OGS ameonyesha ukomavu mkubwa, no punic, sub sizotokana na punic but game plan. Hakika wachezaji wanamtaka Ole. GGMU
 
Penalty za uwongo uwongo Penalty za wiizi wizi huu haziingia msimlaumu
 
Hivi huyu pogba ni lazima apige penalty anaboa sasa,
Kuna watu huwa ni wabinafsi sana, mmojawapo ni Pogba

Angekuwa muungwana angempa Lukaku ajaribu kupata hat trick

Sisemi hivi kwa kuwa amekosa penalty (kwa sababu kukosa sometime kunatokea), ila nimesema hapa kijiweni ninapoangalia mpira kabla hajapiga penalty

Anyway ndivyo alivyo, na ni mchezaji wetu muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu pogba ni lazima apige penalty anaboa sasa,
Nashangaa ni kwanini hakumuachia mwenzake aondoke na mpira.

Pogba sio mpigaji mzuri wa penalty,sijui ni kwanini kocha kampa hayo majukumu. MUFC wapigaji wazuri wa penalty ni Mata na Herrera, haya young pia na Martial wanamzidi pogba. Tatizo ni masifa mengi.
 
Back
Top Bottom