Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"............The two penalties in the second half were justified, but we could have had four." (By SAF)

I totally agree with SAF.........
 
Mkuu mimi ni chelsea, tumefungwa kihalali kabisa. Kuhusu torres nakubaliana na wewe. Kuna goli moja amekosa ni kama alikuwa ana struggle kuokoa. Bora awe anaanza lukaku

Lione...
 
Sio leo 2 hiyo ni kawaida.wanaita viti maalum.hukuona hata mech na stoke walipewa mbili hvyohvyo.
 
Mkuu mimi ni chelsea, tumefungwa kihalali kabisa. Kuhusu torres nakubaliana na wewe. Kuna goli moja amekosa ni kama alikuwa ana struggle kuokoa. Bora awe anaanza lukaku
We hujacheki mpira wala si shabiki wa chelsea then wewe si polisi ni mgambo polisi ana akili shupavu..
 
LIVE-SPLASH_1448781a.jpg



One word AIBU

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Manchewebb United mnatisha kwa usajiri, hadi refa mnachukua dirisha dogo la usajiri

Wengine humu ndani kama wewe mmoja wapo mnaonekana kwenye jukwaa mpaka United afungwe au atoe droo ndio mnaingia kutoka pumba zisizo na akili...Ongea point ya maana kila mtu atakuelewa
 
Aibu kwa man u. Nilikuwa mshabiki mkubwa wa man u lakini kwa jinsi wanavyobebwa katu sitawashabikia tena,

Kwanza unalazimishwa kushabia United??Amia kwingine unakoona hawabebwi.....Crap
 
mkuu mimi ni chelsea, tumefungwa kihalali kabisa. Kuhusu torres nakubaliana na wewe. Kuna goli moja amekosa ni kama alikuwa ana struggle kuokoa. Bora awe anaanza lukaku

we bora ubaki tu chaneta au ishia kushabikia twiga stars.
 
Waache wabebwe lakini nafasi ya pili inawahusu, Jumamosi wabebwe tena kwa Liver maana wamezoea.
 
Arsenal fans: We don't need Batman we have ROBIN!!
Man united fans: we don't need Spiderman we have WEBB!!
 
safi sana, naona vijana wangu wamepangua hoja zenu vyema...welbck kacheza professional faulo....na bado..msimu huu mbaka kieleweke..
 
Hongera Mashetani!

Tumebakiza game mbili za makelele!(against Loserfools and against Man Shitty).

Tutavuka bila shaka!
Hii ya Liverpool haina shida hata wakitufunga,mechi ngumu ni dhidi ya Mancity,tukimfunga tu biashara imekwisha
 
Back
Top Bottom