Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kufuatia uwanja wa darajani kuganda na barafu mechi iliyokuwa ipigwe katika dimba hilo imepigwa stop na itapangiwa siku nyingine.

Nadhani hii ndo itaamua bingwa ni nani>source sky sports news saa 7mchn!

Acha kukurupuka na habari usizokuwa na uhakika nazo wewe mkurupukaji
 
Humu ingekuwa watu wanakutana Uso kwa Uso wangesha chanana viwembe vya kutu :biggrin: watu wakiamuwa kubishana mwisho wanakuwa wanazi ila nashukuru Belo anakuwa si mnazi kwenye ukweli anasema ukweli. Unazi muda mwengine unaharibu ushabiki wa humu ndio mwisho watu wanarukia matusi, tumtowe Howard Webb , tutizame zaidi timu gani leo imecheza vizuri kwa kutaka ushindi je zingeongezwa dk kama 15 ni timu gani pale ingeshinda? ni United nafikiri LFC ikija game na United inatakiwa wajikamue sana ili kuwafunga watani. Tatizo la Chelsea walikuwa Bosingwa na Luiz wanapanda sana kwa kujihami.
 
Kama unakumbuka game zetu darajani, last season David Luiz alimchezea rafu Rooney ambayo alitakiwa kupewa red card refa akapeta akamchezea tena Chicharito refa akapeta baadae Luiz akafunga goli la ushindi,Kuna game JT alifunga goli kabla ya goli alicheza faulu refa akapeta JT akafunga goli la ushindi na kuna Game walitufunga 2-1 Drogba alikuwa offside akafunga goli la ushindi.Hayo yote hamkuyaona Stamford imekuwa mahali ambapo tunapata maamuzi mabaya sana dhidi ya ManU

Mkuu, ukitaka kutoa analysis vizuri ni vema ukaepuka upenzi kwanza. Hiyo mechi tuliyoshinda 2-1 ilikuwa Old Trafford, si Stamford Bridge. Na kama wewe ni mkweli utasema kwamba hilo goli la Manchester lilifungwa kwa mikono na Macheda, kwa maana hiyo magaoli hayakuwa halali, moja la Chelsea na moja la Manchester, ina maana matokeo halali yangekuwa 1-0 Chelsea au?....angalia unaanza kuwa kama Wacha....anyway, hongereni kwa kubebwa leo....Webb is the worst referee in EPL.
 
kudadadadadeeeeeki.......lile goli la Juan Mata ni KALI!..........HANDS DOWN! wakuu

Zile save mbili (from Mata' free Kick na shuti la Cahil) za DE GEA ni kali.......... Hands down!....no doubt ni Golikipa mzuri sana ana quality zote za akina van der Sar & Peter Scheumichael....... zile saves zilinikumbusha sana hawa magolikipa hodari

ManUnited deserve this draw even kushinda........kwani wali-control game overall............

Kosa la Babu ni kumuamini huyu Dogo Evans..........Ni bora John Oshea/Freyers kuliko huyu Evans......
 
Kama unakumbuka game zetu darajani, last season David Luiz alimchezea rafu Rooney ambayo alitakiwa kupewa red card refa akapeta akamchezea tena Chicharito refa akapeta baadae Luiz akafunga goli la ushindi,Kuna game JT alifunga goli kabla ya goli alicheza faulu refa akapeta JT akafunga goli la ushindi na kuna Game walitufunga 2-1 Drogba alikuwa offside akafunga goli la ushindi.Hayo yote hamkuyaona Stamford imekuwa mahali ambapo tunapata maamuzi mabaya sana dhidi ya ManU

Halafu hata husemi magoli ya OT msimu huu mlifunga vipi? Unakumbuka lakini? Punguza kilio, ndio maisha yanavyokwenda, leo mnabebwa nyie siku nyingine wanabebwa wengine.
 
Humu ingekuwa watu wanakutana Uso kwa Uso wangesha chanana viwembe vya kutu :biggrin: watu wakiamuwa kubishana mwisho wanakuwa wanazi ila nashukuru Belo anakuwa si mnazi kwenye ukweli anasema ukweli. Unazi muda mwengine unaharibu ushabiki wa humu ndio mwisho watu wanarukia matusi, tumtowe Howard Webb , tutizame zaidi timu gani leo imecheza vizuri kwa kutaka ushindi je zingeongezwa dk kama 15 ni timu gani pale ingeshinda? ni United nafikiri LFC ikija game na United inatakiwa wajikamue sana ili kuwafunga watani. Tatizo la Chelsea walikuwa Bosingwa na Luiz wanapanda sana kwa kujihami.

Mkuu ukiona hivyo ujue hamna points za kuongea,United akishinda then Webb katusaidia....Hapo umeongea points nzuri sana na hiyo ndio hoja ya kuongea....sio kuongea vitu vya ajabu
 
Huyu huyu ndie aliecheza fainali kati ya Spain na Holland,WOZA 2010!

Sasa sijui wewe ni nani kama unamwona hana maana!

Na atakapopewa final ya Euro hapo mwezi wa sita,ndio utakufa kabisa.

Ni politics tu ndio zilimpa nafasi ya kuchezesha final ya World Cup, NA ALIBORONGA KUPITA KIASI kama hukuangalia mechi. Unakumbuka mifaulo waliyocheza Holland? Unakumbuka De Jong alimfanya nini Xabi? Huyo refa alichukua uamuzi gani?
 
suala linalonifanya niwa-appreciate Mashetani ni kuwa wao ni dhamiri ya ushindi tu...............utakuta timu nyingine siku zote iko dhaifu lakini siku ikikutana ManU siku hiyo wanacheza "Jihad"............utaona hata wale wachezaji mdebwedo......nao siku hiyo wanataka kupandisha chati lao.............dah!
 
Mkuu, ukitaka kutoa analysis vizuri ni vema ukaepuka upenzi kwanza. Hiyo mechi tuliyoshinda 2-1 ilikuwa Old Trafford, si Stamford Bridge. Na kama wewe ni mkweli utasema kwamba hilo goli la Manchester lilifungwa kwa mikono na Macheda, kwa maana hiyo magaoli hayakuwa halali, moja la Chelsea na moja la Manchester, ina maana matokeo halali yangekuwa 1-0 Chelsea au?....angalia unaanza kuwa kama Wacha....anyway, hongereni kwa kubebwa leo....Webb is the worst referee in EPL.
Nakubaliana na wewe but my point ni kuwa kila timu inabebwa
 
mashabiki wa chelshit acheni kuongea uozo, mbona hamjaongelea foul ya mwanzoni ya welbeck ambayo alichezewa na webb akapeta hakutoa penalt?
Kubalini kuwa mlicheza vizuri mkashinda goli 3 na mkaona mechi ishaisha, without kukumbuka kuwa siku zote mwashauriwa u shud never say never..............
Mkawaachia man utd wacontrol de game, get back n kama kungekua na dakika 10 za nyongeza walahiiii mngenyukwa la nne,
goli lenu la mata ni zuri mnooo ki ukweli ila de gea alisevu masuti makali mnooo piaaaa he is a young n gud goal keeper!
 
Nakubaliana na wewe but my point ni kuwa kila timu inabebwa

The way unavyoiweka point yako ni kama vile Manchester anaonewa kila anapocheza na Chelsea, especially at SB! Ingekuwa nzuri zaidi kama kwenye hiyo horodha yako ungeongezea na matukio ya Manchester kubebwa inapocheza na Chelsea.
 
kama yepi?!?
 
Back
Top Bottom