Poleni Manure.........Msikate tamaa,ngoma bado sana hii.......Mpira dakika 90
hatujabebwa tumebebeka!
leo ndio nimekubali kumbe kweli howard web ni mnazi wa man utd!hizo penalt 2,kidogo ile ya kwanza,sasa ile ya pili japo mi si mtaalam lakini kam kusoma cjui hata picha 2 nisione?ila cha muhimu point,huyo tores bora aache 2 mpira kwani fani zipo nyingi.
kama yepi?!?
Mkuu mimi ni chelsea, tumefungwa kihalali kabisa. Kuhusu torres nakubaliana na wewe. Kuna goli moja amekosa ni kama alikuwa ana struggle kuokoa. Bora awe anaanza lukaku
Hakuna kubebwa wala nini,wale wazee mpira kushney
Man ni timu ya dunia, marefa wooote ni wa Man
Natamani yule Refa wamlete uswazi km dk tano tu tumfanyizieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee halafu arudi UK