Ni politics tu ndio zilimpa nafasi ya kuchezesha final ya World Cup, NA ALIBORONGA KUPITA KIASI kama hukuangalia mechi. Unakumbuka mifaulo waliyocheza Holland? Unakumbuka De Jong alimfanya nini Xabi? Huyo refa alichukua uamuzi gani?
![]()
Contentious: Was this incident between
Danny Welbeck and Branislav Ivanovic a penalty?
Kubebwa na mbeleko .... .... all the time, every big game Webb ndiye mpokea bahasha.
Van ndio huyo mwelekeo wa BarcaArsenal fans: We don't need Batman we have ROBIN!!
Man united fans: we don't need Spiderman we have WEBB!!
Van ndio huyo mwelekeo wa BarcaArsenal fans: We don't need Batman we have ROBIN!!
Man united fans: we don't need Spiderman we have WEBB!!
Waache wabebwe lakini nafasi ya pili inawahusu, Jumamosi wabebwe tena kwa Liver maana wamezoea.
Si ndiyo mmebebwa na mkabebeka! Ila hilo ni jambo la kawaida kwenu Afu sikuhizi Runi hafungi kama siyo penati yani
Acheni kuongelea kishabiki, fuateni sheria za soka zinajieleza wazi.Ukimfanyia faulo mchezaji wa timu pinzani ndani ya eneo lako la hatari adhabu yake ni Penati. Mbona ipo wazi sheria hii au isitumike siku Man united ikicheza? Watu wanauliza wanauliza mbona wanapewa penati mbili kwa wiki moja?Hawa watu wako sawa kweli? Hii ni sawa na mtu aliefanya uhalifu mara mbili kwa wiki moja halafu akikamatwa anahoji,mbona mnanikamata mara mbili kwa wiki moja. Mnazidisha mapenzi mpaka mnasahau sheria za soka.Mbona Arsenal walipewa penati mbili walivyocheza na Aston villa au mlikuwa vipofu siku ya mechi hiyo? Mnaniuzi sana na bahati yenu naheshimu sheria za Jamii Forum vinginevyo.....ANGALIZO: Yeyote atakaeniREPLY kwa kauli ambazo si za kiunwgwana nitamripoti haraka kwa Moderators.
Yaani haiingii akilini...j5 penalti 2 leo tena penalti 2!!!!!!!!!!
Van ndio huyo mwelekeo wa Barca
Aibu kwa man u. Nilikuwa mshabiki mkubwa wa man u lakini kwa jinsi wanavyobebwa katu sitawashabikia tena,
Hachana hao. Bado wana uchungu wa goli 10 katika mechi 2!