Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea-v-Manchester-United-Javier-Hernandez_2713652.jpg

Chelsea-v-Manchester-United-Ryan-Giggs-Javier_2713654.jpg
Chelsea-v-Manchester-United-Javier-Hernandez2_2713656.jpg
 


[h=2]AVB wants circus to end[/h]Andre Villas-Boas was disappointed that Chelsea supporters booed Rio Ferdinand throughout Sunday's match against Manchester United
 
Wapi mama nyie mpaka mbebwe bwana,penalt daily.
Wewe Liverpool usiejua soccer mnaingiza paka uwanjani ili acheze au?na spurs leo lazima awanyoe uwanja wenu lakini mnacheza kama mpo ugenini... Kajifunze kwanza mpira kuna Sheria 17 bado u mchanga wewe.... Penalt sio kubebwa
 
siwezi kuwacha hawa watu wanakera sana,mafanikio ya Man united yanawaumiza sana.Mfano shabiki wa Arsenal,miaka saba timu haijachukua hata kikombe cha kahawa.Baada ya kuijadili timu yake anashobokea Man united.Hawa jamaa vipi? Semeni basi zile goli nane refa kabeba.MAN UNITED ndio baba ka soka la uingereza kwa sasa. Na bado tutatesa kwa sana tu. Halafu kuna hawa wapenzi wa Liverpool, hawa jamaa wanashangaza sana.Mwaka wa 22 huu hawajachukua ubingwa wa Uingereza, hii ni sawa mtoto anazaliwa,anatambaa,anatembea,anaanza shule,anamaliza shule,anaingia chuo,anamaliza chuo na kuanza kazi.AIBU GANI HII. Baada ya kutafakari aibu yao,wanaishupalia Man united,wanachekesha hawa. Wapo tayari kufungwa ili Man united isichukue ubingwa.Si mnakumbuka steven Gerald alivyompasia mpira Drogba ili wafungwe?kwani hizo timu mmelazimishwa kuzishabikia?kama vipi hameni kuliko kuleta maneno ya kinafiki kila siku eti ohoo Howard web ni shabiki wa Man united. Chelsea hawa sina hata haja ya kuwazungumzia kwa sababu washawahi kukuaa miaka 50 bila ya ubingwa wa ligi kuu.

Baelezee. Pamoja na mjadala woooote, kilichoamuliwa uwanjani ndo cha mwisho. Nukta.
 
Hata tulivyokupiga goli 8 ,pia tulibebwa na Webb
FYI Kila timu inabebwa tatizo wengine hawabebeki

teh teh teh halafu lile la pili alilolufunga Ashley Young lilikuwa off side kabisa lile. Magoli yote manane ya kupewa teh teh teh. Fans wa Arsenal nimewakumbusha machungu.
 
[h=1]2011/12 Player of the Month award winners:[/h]
January - Antonio Valencia
December - Dimitar Berbatov
November - David De Gea
October - Javier Hernandez
September - Nani
August - Wayne Rooney
 
attachment.php




Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
We are Manure united in ushogas .... ....
 
2011/12 Player of the Month award winners:


January - Antonio Valencia
December - Dimitar Berbatov
November - David De Gea
October - Javier Hernandez
September - Nani
August - Wayne Rooney

Hapo Mashoga wangapi? Au wote?
 
Back
Top Bottom