Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii pointi ya leo muhimu sana,kwa aaliyefuatilia game za Manu na Chelsea hapa darajani,karibu mechi 4 Chelsea alikuwa anabebwa watu walikuwa kimya leo tunabebwa wanapiga kelele

Mkuu achana nao hawa,tunabebwa tunabebwa kila siku hawapendi United washinde kabisa...
 
Bisha tu.........................Kwa hiyo ulitaka Chelsea washerehekee ushindi wa 3-0 hata kabla mpira haujaisha?........lol[/QUOTE

Walisheherekea ndomana wakafungwa kilichobakia kwao Abromovich kuwa mshindi wa kufukuza Ma-Manager.
 
leo ndio nimekubali kumbe kweli howard web ni mnazi wa man utd!hizo penalt 2,kidogo ile ya kwanza,sasa ile ya pili japo mi si mtaalam lakini kam kusoma cjui hata picha 2 nisione?ila cha muhimu point,huyo tores bora aache 2 mpira kwani fani zipo nyingi.
 
Mi naomba siku tukikutana mtupangie combi hii ya defence, Evans na Ferdinand nasi tupate kujidai. Hata hivyo Epl haina marefa, kama huyu ndiye mmoja wa marefa wa kutumainiwa hamna kitu.

Tutajie timu yako kwanza then tuendelee kucomment...
 
Hongereni Howard Webb United. Kwa kupata point.
Kama unakumbuka game zetu darajani, last season David Luiz alimchezea rafu Rooney ambayo alitakiwa kupewa red card refa akapeta akamchezea tena Chicharito refa akapeta baadae Luiz akafunga goli la ushindi,Kuna game JT alifunga goli kabla ya goli alicheza faulu refa akapeta JT akafunga goli la ushindi na kuna Game walitufunga 2-1 Drogba alikuwa offside akafunga goli la ushindi.Hayo yote hamkuyaona Stamford imekuwa mahali ambapo tunapata maamuzi mabaya sana dhidi ya ManU
 
Hii pointi ya leo muhimu sana,kwa aaliyefuatilia game za Manu na Chelsea hapa darajani,karibu mechi 4 Chelsea alikuwa anabebwa watu walikuwa kimya leo tunabebwa wanapiga kelele

Hata OT. Unakumbuka ile game ya pili ya 2010/11. Goli la Drogba,lilikuaje?
 
Mkuu mimi ni chelsea, tumefungwa kihalali kabisa. Kuhusu torres nakubaliana na wewe. Kuna goli moja amekosa ni kama alikuwa ana struggle kuokoa. Bora awe anaanza lukaku
 
Mi naomba siku tukikutana mtupangie combi hii ya defence, Evans na Ferdinand nasi tupate kujidai. Hata hivyo Epl haina marefa, kama huyu ndiye mmoja wa marefa wa kutumainiwa hamna kitu.

Huyu huyu ndie aliecheza fainali kati ya Spain na Holland,WOZA 2010!

Sasa sijui wewe ni nani kama unamwona hana maana!

Na atakapopewa final ya Euro hapo mwezi wa sita,ndio utakufa kabisa.
 
Hahahaaaaa, Jumamosi mko na Liverpool tena.
Point mbili juu yenu si haba mkuu

Dah sifichi wengine tumekaa hapa hatujui timu gani ishinde ila 3-3 haikuwa mbaya, Kesho Totenham sijui kama tutawafunga na kwa mtizamo waliocheza United Leo hata kama wengi wanasema Howard Webb kabeba kama Football muda mwengine fanya kila juhudi timu yako ishinde hata njia ya kumfanyia kiini macho refa afikiri ni Penalt, vitu kama vile ndio utashangaa unajishindia ubingwa ukitaka kujifanya wewe Royal Family utajikuta mwisho wa game unajuta. kwa Game ya Leo Kama Mshabiki wa LiverpoolFC si muda mzuri kukutana na hawa watu.
 
Dah!.................Ushaanza nyodo mkuu?.....

Mumshukuru Mungu kwa kuwapatia Howard Webb......

Hahahahah hapana mkuu wala sio hivyo ila nimesemea tu maana kuna mdau hapo juu anaitwa ndetchia alisema chelsea wamepata points 3,ila sio nyodo mkuu
 
Kama unakumbuka game zetu darajani, last season David Luiz alimchezea rafu Rooney ambayo alitakiwa kupewa red card refa akapeta akamchezea tena Chicharito refa akapeta baadae Luiz akafunga goli la ushindi,Kuna game JT alifunga goli kabla ya goli alicheza faulu refa akapeta JT akafunga goli la ushindi na kuna Game walitufunga 2-1 Drogba alikuwa offside akafunga goli la ushindi.Hayo yote hamkuyaona Stamford imekuwa mahali ambapo tunapata maamuzi mabaya sana dhidi ya ManU

Mkuu ya Didier ilikua OT.
 
Back
Top Bottom