daaaa mnashangilia droo ya kupewa..
Safi sana Man Utd.........Tupo pamoja sana leo.............
What a comeback.....
Hivi hawa Chelsea mbona vilaza namna hii? magoli yote matatu wanashndwa kuyalinda, am fed up
Kweli mpira ni dakika 90................Nani anabisha?
howard nahisi anahisi manure kubeba gani huko..
Bisha tu.........................Kwa hiyo ulitaka Chelsea washerehekee ushindi wa 3-0 hata kabla mpira haujaisha?........lolTeh-Teh mie nabisha inategemea na Tournaments ipi kama za Extra Time je?
Dah!.................Ushaanza nyodo mkuu?.....Wakuu hiyo ndio United sio Arsenal mnafungwa Goli 10 kwa mechi mbili alafu hapo hapo tumechukua points 6 kutoka kwenu hahaha
Wapinzani Saluti, mmerudi kama mtu unatizama timu yako ushapigwa 3-0 kuweza kurudi 3-3 kwa timu za juu ujue umefanya kazi nzuri. nasababu hizi Game ni kubwa sasa hivi kitabakia kwenye ma TV malawama pale vipi nani kafanyiwa hivi vitu ambavyo ikiwa Wigan na Stoke hawana muda navyo.