Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[h=2]kwa ninavyomjua SAF,...hamshikiki tena baada ya hapa, lol!...
[/h]hongera zenu, man citeh wameachia!!!!

Mkuu wewe unaongea ukweli sana,ndio hivyo hapo tumeshatoka tayari hatukamatiki tena...
 
Naona timu ya mashoga wamefurahi wanafikiri Europa ndio EPL chubirini kipigo .... ...... .... Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Terry_1447964a.jpg

KNEE KO ... Anders Lindegaard
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mnaongeza majeruhi please msalimie eqlzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Dah ... .... ... wakuu naona mme-serve match ya kesho, huku juu ungo umekuwa na tafrani kutokana na barafu inayoanguka kama vile hakutakuwa na jua tena. Mzee fungie keshatoa bahasha oops burunguti kwa referee kwa hiyo kuleni bata tu hadi wiki ijayo .... ..... ..... . . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee angalau wachezaji wataweza kuendeleza libeneke lao la kawaida ... ... u .... sho ... ...
 
‎1. Abu Dhabi Oil Group-57 points
2. CHAMP19NS - 54 Points
3. Modric and Bale, are not for Sale- 49 Points
4. Russian Yacht Collection- 42 Points
5. Robin Van Persie- 40 Points
6. Free Agents Union- 39 Points
7. 18 titles, dont remember last one- 38 Points.
 
Dah ... .... ... wakuu naona mme-serve match ya kesho, huku juu ungo umekuwa na tafrani kutokana na barafu inayoanguka kama vile hakutakuwa na jua tena. Mzee fungie keshatoa bahasha oops burunguti kwa referee kwa hiyo kuleni bata tu hadi wiki ijayo .... ..... ..... . . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee angalau wachezaji wataweza kuendeleza libeneke lao la kawaida ... ... u .... sho ... ...

Kijana, huachi maneno yako mbofumbofu???, ongera kwa jana, nasikia mmekafumania kandezi kenu, mmepiga kwelkwl.
 
No Drogba,No Ramirez,No Kalou, No Terry ,No Lampard,No Ashley Cole.Lazima tuwape dozi hata kama wako kwao
 
Hii ni kwa wanaArusha,leo nitakuwa Arusha City Park kuanzia mida ya saa 11 jioni hadi saa 3 usiku wapenzi wote wa Man karibuni kwa chakula na vinywaji.Masharti lazima utundike uzi wa masheteni wekundu masharti na vigezo vitazingatiwa ha ha ha ha Leo tunapiga 4.
 
Key Battle:

Antonio Valencia v Chelsea's left-back - The absence of Ashley Cole causes Villas-Boas a real headache with no natural experienced left-back on the books. With United winger Valencia perhaps in the form of his United career whoever is asked to plug the gap will have their work cut out.
 
Kufuatia uwanja wa darajani kuganda na barafu mechi iliyokuwa ipigwe katika dimba hilo imepigwa stop na itapangiwa siku nyingine.

Nadhani hii ndo itaamua bingwa ni nani>source sky sports news saa 7mchn!
 
ndiyo uwanja wa darajani ni bomu lakini hiyo ya mechi kupigwa stop nadhani hukusikia vizuri...cheki bbc sport football live commentary kama unataka habari za uhakika.
 
Mkuu hiyo habari umeitoa wapi? Hali ya hewa London ni nzuri na Ice imeshayeyuka which Means GAME IPO PALE PALE.
 
Back
Top Bottom