Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaha unafungwa na timu ambayo haijakamilika wakati wewe umekamilika kila kitu..

Wewe huna mpira wa kuifunga Chelsea kama PSG umemshindwa.

Nyumbani anakutandika mbili nunge..

Man city dawa yao wataipata tarehe 25..

Cc.@Ollachuga Oc

Kama ambavyo ulikimbia baada ya kufungwa 6 afu ukarudi baada ya sisi kufungwa na PSG, basi karibu leo kutupa hongera zetu

Kwa nini uteseke????

Sent using Jamii Forums mobile app
MATOKEO MAN 2-CHELSEA 0 ,,,Huko uliko sijuwi upo ktk hali gani,,,,NAONA UMEKAA MKAO WA 4 na 0 UMEIKALIA,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea XI: Arrizabalaga; Azpilicueta, Rüdiger, Luiz, Alonso; Jorginho, Kanté, Kovačić; Pedro, Hazard, Higuaín

Subs: Caballero, Christensen, Zappacosta, Barkley, Hudson-Odoi, Willian, Giroud.

Man Utd XI: Romero, Young (c), Lindelof, Smalling, Shaw, Herrera, Matic, Pogba, Mata, Lukaku, Rashford

Subs: De Gea, Young, Dalot, Fred, McTominay, Pereira, Alexis
Upo mkuu, umekuwa adimu kidogo hapa uzini........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha unafungwa na timu ambayo haijakamilika wakati wewe umekamilika kila kitu..

Wewe huna mpira wa kuifunga Chelsea kama PSG umemshindwa.

Nyumbani anakutandika mbili nunge..

Man city dawa yao wataipata tarehe 25..

Cc.@Ollachuga Oc

Kama ambavyo ulikimbia baada ya kufungwa 6 afu ukarudi baada ya sisi kufungwa na PSG, basi karibu leo kutupa hongera zetu

Kwa nini uteseke????

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona nyumbani kwako wewe umetoa 2-2 tana kama kawaida yako
 
Back
Top Bottom