kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,714
- 6,490
first half PSG kwa mimi naona mbona wa kawaida tu
Man u mnashindwa wap wakuu
cityzen chairman am here
Man u mnashindwa wap wakuu
cityzen chairman am here
Game bado iko open mkuu muhimu ni wachezaji kuweka umakini ndani ya uwanja, unawaza liverpool leo mkuu?? Unatakiwa kuwa na moyo na uwezo wa kuthibiti hisia zako mkuu. Ila game plan ikifuatwa vizuri ushindi upo mkuu. GGMUMan u tumepwaya sana nadhani ni kwa sababu ya uchovu
Kipindi chili inabidi pogba martial na rashford wabadilike ashley young atulie asije tucost na sobfar naoma luke shaw na herera ndo pekee wamecheza vyema
Tusibibadilika tutafungwa kipindi cha pili
Na kwa mpira huu liverpool watatufunga tu
All in all GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Endelea kuburudika mkuu,
Wachezaji waliopwaya kwetu ni Martial na Rash. Wengine wamecheza vizuri mpaka sasaMan u tumepwaya sana nadhani ni kwa sababu ya uchovu.
Kipindi cha pili inabidi pogba martial na rashford wabadilike ashley young atulie asije tucost na so fat naona luke shaw na herera ndo pekee wamecheza vyema
Tusipobadilika tutafungwa kipindi cha pili
Na kwa mpira huu liverpool watatufunga tu
All in all GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums