Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho aliwasajili Fred na Sanchez ili kuibania Man City,kumbuka Pep alikua anataka kumsajili Fred ili aje kumpunguzia majukumu Fernandinho na Sanchez alikua asajiliwe ili kuziba pengo la Sane alipopata majeruhi..!
Mourinho akaona haiwezekani Guardiola awasajili hao wachezaji,akaamua kutia fitna..!
Kinachotokea ni matokeo ya kusajili mchezaji ambaye haumuhitaji..!

mwenzenu bado nipo dilemma kwenye hii ishu ya kusajiliwa alex sanchez, inaniwia vigumu kuamini ya kwamba ni jose mourinho ndiye aliyependekeza dili la sanchez kuja man utd.
tukumbuke msimu uliopita jose alimuhitaji ivan perisic ili acheze upande wa kulia sasa kwa nini mourinho amkimbilie sanchez anayecheza upande wa kushoto kwa sababu dhaifu kiupande wangu ya kumzuia jamaa asisajiliwe na man city?

tujiulize ni nani aliyefaidika na dili la sanchez kati ya mourinho na ed woodward?

1550062518440.png
 
Chief,wewe unahisi ni Ed ndiye aliyependekeza Alexis kusajiliwa na Man Utd..?
 
United 0-2 PSG.

That game was a reality check more than anything. It showed that we weren't good enough to compete at the highest level.

I know we all don't want to face it but we may be good enough for the Premier League but this set of players as a team isn't good enough to challenge for the Champions League. We saw it when Juventus came to Old Trafford and we saw it yesterday.

We need some signings.

Anyway focus on Chelsea up next but this tie has just got a whole lot harder. Let's go for it in the Second Leg Reds but we need something of a miracle but it's football and anything can happen
 
Mwenye picha ya lukaku akiwa amegusa mpira mechi ya jana anitumie inbox

Serious wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Alimdondoshea mata kwa kifua elegevu wake mata alishindwa kumiliki mpira lukaku alipaswa kuingizwa toka dakika ya 45 sio mata mbela kungekuwa sanchez,lukaku na rashford hapo tungepata namba 7 ambae angekuwa lukaku
 
WES BROWN amesema ilikuwa mapema mno kwa PSG kuikabili MANCHESTER UNITED iliyo chini ya OLE GUNNAR SOLSKJAER na pia ameongezea kwa kusema anachokiona yeye campaign nzima za kuendelea na UEFA Champions League zimekwamia hapo.

RIO FERDINAND amesema kufungwa sio jambo mbaya kimchezo ila anadhani matokeo ya mchezo huu wachezaji watakuwa wamejifunza kitu na kwa sasa kilichobaki ni kuona ile act watakayokuja nayo wachezaji kwenye michezo inayofata.

PHILI NEVILLE yeye kasema hivi tunatakiwa kukubali Manchester United yetu bado haijakamilika kuziface timu ngumu ila kiushauri anaona wachezaji wa Manchester United wanahitaji kufanyia kazi zaidi zile progress za Mwalimu OGS.

MAONI YAO YAHESHIMIWE .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WES BROWN amesema ilikuwa mapema mno kwa PSG kuikabili MANCHESTER UNITED iliyo chini ya OLE GUNNAR SOLSKJAER na pia ameongezea kwa kusema anachokiona yeye campaign nzima za kuendelea na UEFA Champions League zimekwamia hapo.
ina maana wes brown alitaka tuendelee kucheza na timu zenye kushabihiana na jang'ombe boys kiubora?
 
kwa asilimia 60 ndivyo ninavyojiaminisha na kama si makubaliano ya kubadilshana wachezaji pia ed woodward angelikubali kuwapa arsenal paundi millioni 35 ili amnase alex sanchez.
dili limekuwa ni faida kubwa sana kibiashara kwa klabu.​
Ooh,mwanzo sikuelewa maana yako...
Inawezekana upo sahihi chief..!
 
Jana baada ya kutoka lingard nilitegemea kumuona lukaku akiingia sio mata kwa gem ya jana kwa upande wangu naona kocha alichemka hapa
Hiyo kitu kama ulikuwepo. Kuna mshikaji wangu nilikaa naye Jana, nikamwambia Martial ameumia angeingia Lukaku

Ili wacheze kama tulivyocheza na Arsenal

Mata ni mzuri ila hana kasi na nguvu ni chache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakula za uso FA unaenda kwa klopp anakupasua pasua yani fumua fumua kichwa cha fred kuleee Kiwiliwili cha Lukaku kule Miguu ya de gea kule halaf anashusha miwani kama haoni vile kumbe ndo anataka kuwauliza mpoooo??

Kushtuka wa 6 na mkikaa nyie mtaa unakuwaga mzuri sana

Nyumbu bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom