Neymar out, Cavan outPSG wametuzidi uwezo kabisa,tena tusisahau wachezaji Wao muhimu hawakucheza leo.
Tujenge team baki wa kati na pembeni,kiungo Matic umri umemkamata lazima tusajili wachezaji wasiopungua 5 wa kiwango cha juu.
Acha tu. Yan kwa sasa kule mbele hawako na purukushani. Ndio tumewapa uhuru
Tuchel katumia tactics sana.PSG wametuzidi uwezo kabisa,tena tusisahau wachezaji Wao muhimu hawakucheza leo.
Tujenge team baki wa kati na pembeni,kiungo Matic umri umemkamata lazima tusajili wachezaji wasiopungua 5 wa kiwango cha juu.
No creativity kabisa yaani kiungo kimekufa kabisa.