cosmonaut
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,392
- 2,770
Nadhani nio combo iliyojidhirisha kuleta matokeo so far...........
Go Go Go Man U

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani nio combo iliyojidhirisha kuleta matokeo so far...........

Kwa hiki kikosi,hakika PSG hachomoki..!
Mkuu kikosi ambacho si cha hovyo ni kipi?Tuchel kafield kikosi cha hovyo sana
Baily leo atulize akili akileta mambo yake ya uswahilini itatugharimu
Sometimes jamaa huwa anakaba utadhani anacheza chandimuBaily leo atulize akili akileta mambo yake ya uswahilini itatugharimu
.
Hapo ni shida anatiwa acheze kwa nidhamu ya hali ya juu sanaMatic, veratti na RB wa PSG atakaye pata yellow card anamiss second leg.
Tuombe Matic asipate kadi
Sent using simu mbovu
Matic, veratti na RB wa PSG atakaye pata yellow card anamiss second leg.
Tuombe Matic asipate kadi
Sent using simu mbovu
Mkuu kikosi ambacho si cha hovyo ni kipi?
.
Kocha wao ameona man u wanashambulia zaid kutokea kushoto, kwahy kumuweka Alves mbele ni advantage kwao ukizingatia pia Alves ni mzuri pia kushambulia, kwahyo atakuw na role mbili kwa mpigoMaquinhos MF halafu Alves forward simuelewi huyo kocha kwa kupanga hivyo halafu unaenda viwanja hatari vya ugenini
Maquinhos MF halafu Alves forward simuelewi huyo kocha kwa kupanga hivyo halafu unaenda viwanja hatari vya ugenini