Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Nasikia mmesajili mtoto mwinginekwa ninavyomjua SAF,...hamshikiki tena baada ya hapa, lol!...
hongera zenu, man citeh wameachia!!!!
Nasikia mmesajili mtoto mwinginekwa ninavyomjua SAF,...hamshikiki tena baada ya hapa, lol!...
hongera zenu, man citeh wameachia!!!!
Nasikia mmesajili mtoto mwingine
Kama City asipochukua ubingwa na Mourinho akichukua La liga ,nakubaliana na wewe 100%Hongereni wakuu.
Mourhinho to replace Mancini at the end of the season.
...we acha tu bro, ....inauma kweli japo wanadai "eti" ni mzuri kuliko Sneidjer!
Kama City asipochukua ubingwa na Mourinho akichukua La liga ,nakubaliana na wewe 100%
...we acha tu bro, ....inauma kweli japo wanadai "eti" ni mzuri kuliko Sneidjer!
Mzuri kuliko Sneijder lakini kuchezeshwa hatochezeshwa kwa vile Russian Captain apewe namba kwanza.
Russian Captain kwani hamumuuzi ?
Nakumbuka wakati Walcott anasajiliwa walisema ni mzuri kuliko Thierry Henry:lol::lol:
Siku mbaya kwa haters, hongera Man Utd
Huenda akaondoka usajili wa Russia unaendelea hadi FebruaryWenger kasema bado anamuitaji.
hongereni manure from old trashford..
naona mashetani nao wanacheza possession ball siku hizi.............ila bado wavivu wa kukaba na umiliki wa mpira i.e ball control ni hafifu...........