Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa jamaa kwa kudefend si mchezo,nakumbuka game ya kwanza tulitoa droo
 
Duh wakuu Game ya City na Everton kuna Jamaa Kajipiga Pingu kwenye Posti ya Goli la City anataka mpaka Timu yake Isaini Messi tehtehteh!.
 
Half time utd 1 Chicharito

Everton safi sana wakomalie hao Man city
 
Tulikuwa tuna miss mtu wa kukaa na mpira pale kati na kuchezesha timu Scholes anatusaidia sana

Penati tena
 
Half time utd 1 Chicharito

Everton safi sana wakomalie hao Man city

Mkuu City Leo waki Draw au Kufungwa siwaoni Kushinda kwa Fulham Game Mbele ya kina Dempsey Tatizo la City hawajawahi kufikia sehemu kama hizi za Presha ya Mind game kuanzia magazeti Presha ya kusema wanaonewa hawaiwezi kabisa japo kuwa nyie ndio wapinzani wangu wa Jadi kwa KOP United Leo wakiweza 3point na City wakidondosha United Bingwa hasa game ya City Vs Fulham.
 
Full kipigo.....Valencia sasa hivi yupo kwenye form vibaya sana
 
Mkuu City Leo waki Draw au Kufungwa siwaoni Kushinda kwa Fulham Game Mbele ya kina Dempsey Tatizo la City hawajawahi kufikia sehemu kama hizi za Presha ya Mind game kuanzia magazeti Presha ya kusema wanaonewa hawaiwezi kabisa japo kuwa nyie ndio wapinzani wangu wa Jadi kwa KOP United Leo wakiweza 3point na City wakidondosha United Bingwa hasa game ya City Vs Fulham.

Leo naona flop wenu anawabeba anawafungieni magoli lol
 
Kijana wetu Gibson keshafanya mambo kwa jirani
 
Dah! kwetu Supersport imekatika, ila nimechungulia net naona city kashagongwa 1
 
duh! mwaka huu wetu tena. City watachelewa sana kuamka wanaweza wakadundwa game 3 hata 4 mfululizo!
 
Back
Top Bottom