Mechi ipo kama kawaida saa 1 usiku uselete mipasho apa
chelsea mke wetu tu lazima akae leo
lazima chelsea leo achezee kichapo tu!
mkuu wa chuo njoo chuoni the blues
Kwaiyo mechi ipo au haipo?
mmmmhhhhhh stori nyingine jf bana,mbona naangalia dstv na mechi karibu inaanza?Kufuatia uwanja wa darajani kuganda na barafu mechi iliyokuwa ipigwe katika dimba hilo imepigwa stop na itapangiwa siku nyingine.
Nadhani hii ndo itaamua bingwa ni nani>source sky sports news saa 7mchn!