Taratibu ... dk 90 bado hazijaisha. Umesahau siku ile walitukandamiza goli 3 ndani ya dk 4?
Dah! kwetu Supersport imekatika, ila nimechungulia net naona city kashagongwa 1
duh! mwaka huu wetu tena. City watachelewa sana kuamka wanaweza wakadundwa game 3 hata 4 mfululizo!
Huyu Pogba aache ujinga a sign contract mwakani awe anazungusha pale kati
Katulia sana huyu dogo anapiga mpira vizuri tu
Leo net full kuzingua napakua mapicha lakini yanagoma kupost
Mwenzie bad boy Ravel Morrison kauzwa West Ham leo,SAF inabidi awape nafasi hawa vijanaHuyu Pogba aache ujinga a sign contract mwakani awe anazungusha pale kati
Mwenzie bad boy Ravel Morrison kauzwa West Ham leo,SAF inabidi awape nafasi hawa vijana