Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho ni Kocha mzuri sana kwa mbinu kuliko hata huyu OGS lkn tatizo ana ukoloni mwingi sn, kwani hapo unadhani OGS kuna anachofundisha kipya sana kuliko Wachezaji wenyewe kuwa na morali ya kujituma ili wapate matokeo mazuri?

Wachezaji walikuwa hawamtaki Mou tokana na mikwaruzano yake kila kukicha kati yake na Wachezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unateseka na baby face... Kwanini uteseke....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila mashabiki sometimes hatupo fair kabisa linderlof huyu huyu ambaye mlikuwa mnamzodoa leo kawa lulu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpira ndivyo ulivyo kinachotakiwa ni matokeo hata barcelona waliokuwa wakimlilia coutinho leo kwenye mitandao wanaongoza kumponda kama walipigwa na liverpool hata mess argentina anazinguliwa na sanamu zake zinavunjwa labda uwe mgeni na mpira.
 
Back
Top Bottom