Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

its like mtu anajitia kidole halafu ananusa akitegemea atahisi halafu ya vanila

ni upuuzi tu unaongea hapo, kwani unateseka?
Kwani unateseka sana usipoandika bila ya matusi?

Afu mbona matusi yenyewe hakuna hata mapya hapo?

Jibu hoja kwa hoja siyo matusi yasiyo na tija, na kwa taarifa yako usidhani hakuna asiyejua kutukana hapa bali watu tunajitambua tu kiakili.

Jiheshimu ili uheshimiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hebu ireport ile post yangu halafu uone kama nitapigwa ban

wapi ulipotukanwa???

"its like mtu ajitie kidole halafu anuse akihisi kutakuwa na harufu ya vanila" hebu pigia mstari sehemu unayoona umetukanwa

unataka nijibu kwa hoja hoja ipi sasa uliyoiweka?? tulia dawa ikuingie unateseka kwani??
 
001
Yaani hivi yule wifi yetu yupo bado Spain au yuko jijini Manchester? Siyo kwa saving za leo!!! Leo itakuwa wifi yetu alifanya kazi nzuri,wanawake oyeeee!!!!! Hahahahahah!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kumpa mtu credit anapostahili. Hata Kama hana Mbinu za uwanjani, lakini ana Mbinu za ku-win mioyo ya wachezaji kiasi kwamba wanajitoa kwa ajili yake na timu. Hiyo ndiyo mbinu kubwa na ya kwanza kabla hujaingia kwenye tactical sphere.
Mourinho alishindwa hapa na kuna msemo unasema, if you fail to plan, you plan to fail . Hope umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamenuna ujio wa OGS mna bahati mbaya sana tunaye pia mtaalamu mwelekezi Sir AF mtakoma wenye kombe wamerudi kuchukua chao mlizoea. Tunamsubiri jirani mpiga kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na top namba 10 pia young umr umeenda labda wakina fosuh mensah tuwaangalie wakirud
Mashambulizi mengi yametokea kati na upande wa kushoto Shaw hakuwa vizuri na Pogba& Martial hawakuwa wanamsaidia kukaba while upande wa Young haukuwa na shida Sana na Herrera alikuwa anamsaidia Young kukaba.
De Gea amefanya 11 saves na 6 zilikuwa clear chance timu yenye clinical striker leo tungefungwa hata goli 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha anatakiwa achek marudio ya game ajiulize kwann tumeshambuliwa sana vile je kulikua na tatizo sehem gani na namna ya kusolve maaana ni hatari sana kukoswa koswa vile ni dalili mbaya kua kuna shida mahali na siku ukukutana na wamaliziaji wazuri utapigwa nyingi
 
Tujifunze kumpa mtu credit anapostahili. Hata Kama hana Mbinu za uwanjani, lakini ana Mbinu za ku-win mioyo ya wachezaji kiasi kwamba wanajitoa kwa ajili yake na timu. Hiyo ndiyo mbinu kubwa na ya kwanza kabla hujaingia kwenye tactical sphere.
Mourinho alishindwa hapa na kuna msemo unasema, if you fail to plan, you plan to fail . Hope umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ole anazo mbinu za uwanjani. Sikiliza post-match interview ya Pogback akiongelea jinsi walivyopanga mbinu juu ya udhaifu wa Spuds!
 
Kocha anatakiwa achek marudio ya game ajiulize kwann tumeshambuliwa sana vile je kulikua na tatizo sehem gani na namna ya kusolve maaana ni hatari sana kukoswa koswa vile ni dalili mbaya kua kuna shida mahali na siku ukukutana na wamaliziaji wazuri utapigwa nyingi
Ww ni mchambuzi mzuri wa mpira maana unaangalia mapungufu yaliyojitokeza licha ya kuwa timu imepata matokeo mazuri ya ushindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom