fadtanji
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 768
- 999
Numbisa Hongera sana🙂
Nichukue nafasi hii kuwashukuru Liverpool kwa msaada wenu wa kutuondolea Bwana yule. Nawish angekuwa alitimuliwa mapema October huenda mida hii tungekuwa tupo kwenye Mbio za ubingwa.But too late
Ni hakika mechi ya leo lazima kaangalia, sasa niwakati wake ajitokeze kuja kutuomba msamaha kwa hujuma alizotufanyia OTDE Gea huyu enzi ya bwana yule alitupa -1 diferent goal Leo anatupa 12 different goals kweli bwana yule alikuwa KGB ndani ya CIA

Wakina Pogba rashford na lingard walikuwa hoi hakika Herrera mnyama kanipigia kiungo hatar sijui ilikuwaje Mourinho alishindwa kujenga kiungo Cha Herrera na maticUshindi ni muhimu ila leo kimazingira MOU 'S PRINCIPLE imetubeba pongezi nyingi ziende kwa De gea
Na chelsea
Numbisa Hongera sana🙂