[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inachekesha sana hii kauli
Mama yake kiumri
What a superb performance from
David Degea
Ooh wanacheza na vitimu vidogo kipimo chao jumapili nayo naona imepita
DE Gea huyu enzi ya bwana yule alitupa -1 diferent goal Leo anatupa 12 different goals kweli bwana yule alikuwa KGB ndani ya CIA