Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna Mjinga mmoja alikuwa Akimtetea Kwa Kila kitu Yule Mmakonde wa Msumbiji aliyepata bahati ya kuishi Ureno utadhani ni mume wa Dadaake..

Lakini Tokea atimuliwe Mmakonde basi Kaukimbia Uzi. 😀😀

RADIKA , Naona kaja na ID nyingine. Nimeshasema sote ni united silaha zote chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sana Man Utd kwa ushindi.

Taarifa zenu tunazo kuwa kismati cha Kocha mpya kimezidi kuwaletea ladha ya matokeo mazuri, na hii imetokana na style ya kupaki basi kwenu dhidi ya Tottenham kipindi cha pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tumeshinda ila kulala na viatu kunahusika kwa wachezaji wetu ..tot wanashambulia sana aisee ukijifanya kufunguka sana unaeza kula mkono nilichofurah spirit ya man u imerud yaan shetani limeji update now sasa ni mauaji tu .. tuletèe anaekuja msako ni chumba kwa chumba mamaeeeeeeeeeeeeeeee .. GGMU
 
Mourinho ni Kocha mzuri sana kwa mbinu kuliko hata huyu OGS lkn tatizo ana ukoloni mwingi sn, kwani hapo unadhani OGS kuna anachofundisha kipya sana kuliko Wachezaji wenyewe kuwa na morali ya kujituma ili wapate matokeo mazuri?

Wachezaji walikuwa hawamtaki Mou tokana na mikwaruzano yake kila kukicha kati yake na Wachezaji.

Tumekusikia , Tuma Salamu kwa watu 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shaw bana
Screenshot_20190113-221758~2.jpeg
 
Back
Top Bottom